Recent content by Ubwabwaz

  1. Ubwabwaz

    Huu ndio mchezo wanaochezewa UKAWA

    Ni nani hasa mroho wa madaraka kati ya aliye madarakani na hataki kutoka au asiye madarakani na anataka kuingia???? nb lengo la chama cha siasa chochote ni kuunda serikali ama kutawala nchi
  2. Ubwabwaz

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    tumevuliwa
  3. Ubwabwaz

    Unaijua mikoa 7 inayoongoza kwa maisha duni Tanzania?

    embu fuatilieni kwa makini uwepo wa makazi,maji ,chakula utajuwa kwanini Lindi haipo ....vijumba vya Dodoma na singida vile huwezi kuviona Lindi
  4. Ubwabwaz

    Gwajima vs Kova Chanzo ni Dr. Ulimboka

    kumbe duuuu watu mnakumbukumbu Joshua malundi
  5. Ubwabwaz

    Uteuzi wa wabunge: Mkosamali aomba muongozo wa spika

    si nasikia anataka kuteua upya mawaziri so mmoja wapo hapo ataukwaa
  6. Ubwabwaz

    CHADEMA yawagaragaza CCM Mahakamani

    nikusaidie kusoma bandiko upya???? nahisi hujasoma bandiko la msingi ukaelewa aliyefungua kesi/mlalamikaji
  7. Ubwabwaz

    Vita sasa ni Mbowe na Slaa

    Taarifa zaidi zinasema shinikizo la kumtaka Mbowe agombee kupitia MBOWE linatoka katika makundi makuu mawili ambayo ni nichojifunza toka kwa hilo gazeti ni kuwa kuna chama cha siasa kinaitwa ....MBOWE ........au wenzangu hamjaona hiyo?????
  8. Ubwabwaz

    Uhusiano wa ukame wa mvua na Uchaguzi mkuu Oktoba

    kuna harufu ya ukweli coz naikumbuka sana ya 2000
  9. Ubwabwaz

    Yaliyojiri Yanga Vs FC Platinum

    ndio lakini hauna nywele unatumika kunanilyuuuuuuuu
  10. Ubwabwaz

    Basi la Majinja lagongana uso kwa uso na Lori, Kontena laangukia Basi

    hii habari si tetesi tena coz imetokea na inadhaniwa watu zaidi ya 50 wameondoka
  11. Ubwabwaz

    Tundu Lissu atangaza rasmi Zitto Kabwe kuvuliwa uanachama wa CHADEMA

    hiyo picha ni sawa na mistari ya bibilia au kuraan kwa kusoma mstari mmoja huwezi elewa maana so tafuta zaidi kwanini iwe hivyo kwanini watu wamemzunguka kachaniwa au kachana mwenyewe??? so kama hujajiuliza maswali kama hayo basi wewe si lolote bali unasubiri giza ukojoe mkojo ulale
  12. Ubwabwaz

    Rukwa: Mtoto mwenye ulemavu wa ngozi (Albino) akatwa mkono

    me nimesikia kuwa ni rukwa au nimesikia vibaya
  13. Ubwabwaz

    Mungai: Msinilishe Maneno,Shule za kata ni Ubunifu wa Rais Kikwete na Lowassa

    naomba nielekezwe kwa mfano shule ya kata ya nambambo wilayani nachingwea kata ya nachingwea imeanza kuchukua kidato cha kwanza 2006 je ilianzishwa katika awamu ili ya uongozi pia shule mbili za kata ya chigugu wilayani masasi mbemba day 2005 shirima day 2006 zinaangukia ktk awamu ipi ya...
Back
Top Bottom