Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,917
- Thread starter
- #21
Mungu aendelee kupigania Chadema...Hongereni sana
Asante Mwanahabari mwenzagu leo nariport kutokea Arusha ni huku ni Shamra shamra fisi ameaibishwa leo
Mungu aendelee kupigania Chadema...Hongereni sana
umeandika kimasikini sana !
===>Baada ya kushinda kesi nini mmepata?
Bila ya kutumia lugha mbaya naomba unijuze ni sababu zipi umeziona mpaka kusema hivyo???endapo nimekukwaza pse nisamehe.
nani kakudanganya kwamba ukabila unaweza kukusaidia ?
Angalia hii...Mlalamikaji wa CCM ni kutoka CHAGGALAND...Mlalamikiwa ni wa Chadema naye ni kutoka CHAGGALAND...hiyo serikali ya mtaa iko ArushaLand ambapo mbunge wake ni wa Chaggaland pia.Je hii ni ishara ya mbunge huyuhuyu wa Chaggaland kurudi tena bungeni...???
Chama cha Demokarasia na Maendeleo CHADEMA leo imeshinda kwenye kesi iliyofunguliwa na Aliyekuwa mgombea wa CCM Joseph Lymo.
Kesi hiyo iliyofanyika kwenye Mahakama ya wilaya ya Arumeru iliyopo Sekei. Walimshtaki GODFREY J MUSHI aliyeshinda serekali ya mtaa kupitia tiketi ya CHADEMA. Kesi hiyo imetupiliwa mbali kutokana na kutokidhi matakwa ya kisheria ya mahakama.
Chanzo: Mwanahabari Huru
Tangu jana ni kugalagazwa CCM tu hadi raaaaaaaaaha. Maana Mtaa wa Kingazi B kwembe wamegalagazwa pamoja na kupeleka FFU kibao. Sasa tunataka ile mitaa iliyopitishwa na CCM bila kupingwa uchaguzi urudiwe halafu tuone asipozimia mtu pale Lumumba. Mzee Tupa Tupa na Faiza Foxy upo?
Ndugu kwa miaka hii bado Watz mnabaguana kwa ukabila na Ukanda? Kweli elimu haijawakomboa watanzania wengi
chadema inaenda mahakamani ila inakataza wanachama wake waende mahakamani kama wameomeniwa na Chama!
===>Baada ya kushinda kesi nini mmepata?
nikusaidie kusoma bandiko upya???? nahisi hujasoma o la msingi ukaelewa aliyefungua kesi/mlalamikaji
FilipoSasa ni rasmi kuwa kitongoji chetu kitaongozwa na M/kiti tuliyemchagua!
nikusaidie kusoma bandiko upya???? nahisi hujasoma bandiko la msingi ukaelewa aliyefungua kesi/mlalamikaji
Siyo sisi watanzania tu....wengi wanayo hulka hiyo na hutuzidi sisi.Ahsante naondoka kwenye huu uzi.
chama kinacho kataza wanachama wake wasiende makamani kinaendaje kudai haki mahakamani??? yaani mwanachama wa chadema akienda mahakamani anakua kesha jifukuza uanachama!
acha ujinga wewe chama cha mafisi ndiyo walioenda mahakamani kupinga matokeo baada ya kugalagazwa vibaya na CHADEMA.chadema inaenda mahakamani ila inakataza wanachama wake waende mahakamani kama wameomeniwa na Chama!