Recent content by uberito

  1. uberito

    Must see Movies

    Baada ya kukaa muda mrefu na kukosa series kali ya kufuatuli kaamua tu kuishi Na hizi movies TAKEN 1-3 THE HANGOVER I-III kama hukuoata muda wakuziangalia unaweza ziangalia zipo vizuri sana.
  2. uberito

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Nakuunga mkono bro uko mwanzo ilikuwa ni story ya kweli ila mbele tunapoenda ni kutunga tu kwa hali ya kwaida tu uyo lryn alikuwa ashaliwa ilaa ikifika wakati wakumla au wapo faragha mwandishi anazidi kuweka vikwazo ila sio mbaya ni utunzi mzuri japo.
  3. uberito

    Siku hizi UTI sugu na Gono vimejificha kwa mabinti wale warembo sana, kuweni makini

    lakini UTI sio ugonjwa wa kuambukiza kwa njia ya kujamiana, labda kama alipata magonjwa ya zinaa na wengi hata ukiwaambia wanamagonjwa ya zinaa wakitoka wataenda kusema walikuwa ya UTI, ila UTI huwezi kuipata kwa njia ya tendo la ndoa , sema limekuwa chaka la wahuni wengi kuficha magonjwa yao ya...
  4. uberito

    Series (Special thread)

    Mkuu nipe link
  5. uberito

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kama nilivyosemaa kazingua 5 kati ya 43
  6. uberito

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kama nilivyosemaa kazingua 5 kati ya 43
  7. uberito

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Uyu lo kagomea tena 23M kwa timu mbilii
  8. uberito

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Leo kuna timu nyingi sana na pesa ipo leo inafaa sana kutengeneza train hata la timu 50 na kuna uwezekano zikafanya poaa
  9. uberito

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Asee kuna muda matren yanaumizasana unafukuzia milonin40 inachana moja mbili, tusiache kuweka matren asee kuna siku yatatoboa tu Ila tusiache kuweka na iz ndogo ndogo usisahau kustake parefu pia
  10. uberito

    Must see Movies

    Shukran sanaaa Leo katika kutembea nimekutana na hii website inaitwa 1.moviesjoy.to hii unaangalia movies in HD kabisa pia utaweza pakua movies ukitaka 2. Kwa watumiaji wa android kuna hii app inaitwa na torrdroid ipo playstore utaweza pakua movie utakayo pia
  11. uberito

    Must see Movies

    Wakuu msaada wa link ya SAKRA
  12. uberito

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mzee mm sio mgeni kwenye kubet ni mkongwe sanaa iyo game ilikuwa ya pili kwenye mkeka ndio imezingua alafu nishawai cash out 1.3M alibaki sevilla ilikuwa nishinde 7M kwa 5000 sevilla akaja shinda kwaiyo najua nn nafanya
  13. uberito

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Asee 15M imekuwa kama ndoto[emoji17][emoji17]
  14. uberito

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hakika jana ilikuwa siku nzuri kidogo kanji katoa za matumizi
  15. uberito

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Haikuwa mbaya weekend hii
Back
Top Bottom