Sasa hili baraza ndo Mangungu kaenda kuteua wahuni akina Hasanoo na Try Again, kwa mwanasimba yoyote Mwenye akili Timamu awezi kukubali mali za klab ziwe chini ya hawa wapigaji, moja kwa moja kwa uteuzi mangungu anategenezea vurugu na mivutano kati ya hilo baraza na wawekezaji,
Kuna wazee...
Baada ya uongozi wa Try Again na Mangungu kusuasua na timu Kufanya Vibaya kitaifa na kimataifa na kua zinafanyika Sajili mbovu na za kipigaji kuletwa wachezaji wasio na Uwezo, kama
Pah Omar Jobe
Fredy Michael
Ismair Sawadogo na wengineo Wengi
Ikabidi Mo afanye Mabadiriko kwa mtendaji Mkuu kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.