Recent content by UAN

  1. UAN

    Car4Sale Jipatie magari mazuri kwa bei ya mmiliki

    Mkuu naweza kupata carry au Nissan kwaajili ya kubebea mizigo. Kama inapatikana kwashingapi?
  2. UAN

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Kuna wimbo wa mr blue wa kwanza kabisa unaitwa blue blue. Sijawahi kuupata
  3. UAN

    Sayansi imethibitisha: Mwanamke huwa haridhiki kamwe

    Asantee ungelirudisha basi
  4. UAN

    Kutoka Hosp Nilikolazwa: Kuna wanawake tunaweza date/oa kumbe wachawi/walozi

    Hata kama anamihela ndio asionyeshe hata kumjali mwenzie? Sio fresh kabisa jamani
  5. UAN

    Fiesta DSM 2017 Special Thread;

    Sawa wakuu ngoja nijaribu kuitafuta google
  6. UAN

    Fiesta DSM 2017 Special Thread;

    Wakuu kwaanaejua hivi watarusha hewani hiyo Fiesta? Maana wengine tupo inje tz
  7. UAN

    Ukubwa wa bei za simu,TV na Redio Mlimani City

    [emoji39] [emoji39] yaani huo upaja balaa
  8. UAN

    Ukubwa wa bei za simu,TV na Redio Mlimani City

    Ukitaka kuwa na uhakika na kitu ulichonunua ni bora ununue mlimani city maana kariakoo kama sio mzoefu unaweza ibiwa au ukauziwa kitu feki kwa gharama kubwa kwasababu bei ni maelewano wakati city unakuta bei imewekwa tayari labda uombe discount.
  9. UAN

    Ukubwa wa bei za simu,TV na Redio Mlimani City

    Kama anaona gharama asinunue kitu, hapo sio level yake
  10. UAN

    Rais Magufuli apiga marufuku kufanya biashara kwa kutumia fedha za kigeni

    Hogera sana Rais kwa kuliona hili[emoji106]
  11. UAN

    Rais nakubaliana nawe, usiwaite Ikulu sababu hawana hadhi!

    Rais wa aina hii tulichelewa kumpata ilitakiwa tumpate hata awamu ya pili hakika tungekuwa tumepiga hatua. Anajitahidi sana! Najua hawezi kupendwa na wote ila walio wengi hata kama hawatasema hadharani lkn kimoyomoyo wanamkubali kama ninavyomkubali. Shida kubwa ya sisi watanzania tunapotezwa na...
Back
Top Bottom