Chadema kaeni kimya makelele yenu hayamtishi/kumzuia ng'ombe kunywa maji. Mr lisu(chedema) soma alama za nyakati sio kwa Rais Magufuli
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakili unamdanganya lisu ni bora abaki bungeni lakini kwa kasi ya Rais Magufuli awezi hao wazungu wanamkubali sana misaada wanazidi kumpa na kelele za lisu mfano wagermani wametoa pesa ya kutoa maji ziwa victoria kwenda simiyu na USA na UK wametoa pesa ya bara bara ya mikumi mpaka ifakara maana...
Nimeona TBS usa na uk wametoa pesa ya msaada kujenga bara bara ya mikumi ifakara
. Je unafikiri kelele za lisu zinasaidia? Mie napenda kukupa ushauri lisu kaa chini ujiangalie speed ya Rais Magufuli ni kali utaumia kama ukisikia wanapendekeza eti unafaa kugombea uraisi
Sent using Jamii Forums...
Nimeona wajermani wametoa pesa kwa ajili ya mradi wa maji toka victoria mpaka simiyu. Lisu angejiuliza kelele zake azimzuii Rais kufanya kazi na ndio maana wazungu wanatoa msaada sio mkopo. Kwa hiyo lisu awezi kasi ya Rais Magufuli anatakiwa kusoma alama za nyakati. Ushauri mnaompa hautamzaidia...
Msimdanganye atakosa hata kuingia Bungeni kwake uraisi hawezi kwa kasi ya Dr. Magufuli anayoifanya ktk nchi hii angalia hao waisani wanazidi kutoa pesa hata na makelele ya wapinzani. Kumbukeni la Zanzibar na wakasema hivyo Rais akusikiliza mtu anachokifanya kwa kitendo ndio maana wanazidi kumpa...
Hata marekani kuna watu hawajawahi kupanda ndege yaani hawana pesa sio kila kitu wote watafanya. Tumuunge mkono kwa hili
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi sana ila najiuliza maafisa wa TRA hawaoni hivyo maana hata mafuta wananunua wapi ya magari yao. Muheshimiwa pita na kwenye mini super market na sehemu wanazouza vyakula kwa jumla
Sent from my GT-I9505 using JamiiForums mobile app
Mara ya kwanza ulikuwa hakuna viwanda sasa vinafunguliwa. Ushauri wangu nenda kwa mkuu mkoa kaulize ndio utajua ni kweli au si kweli kuliko kuchangia kwa kuhisi tu
Kwa ushauri wangu asipende kupiga picha na watu wengi wapige wachache tu na muhimu. Kwa usalama wa Rais maana vita ya uchumi sio nzuri kwake bado tunamuitaji
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.