Endelea kulala usingizi,hujasikia nchi kwa sasa inaendeshwa kwa mikopo?leo kuna mstaafu amekuja ofisini kwangu anaomba nisaidie sh.5000 akanunue chakula cha familia kwani mpaka sasa hawajalipwa,nikamwambia fedha ya mkopo bado haijafika subiri ikija utalipwa.Nimemhurumia sana,chakushangaza jf...
Hujui mtaifa mengi ya ulaya na Marekani ni maadui zetu?hujui urafiki wao kwetu unalenga la kutunyonya zaidi kiuchumi?hujui wanatuibia mali zetu kwa mgongo wa ushirikiano wa kiuchumi?endelea kulala usingizi
Ukishaanza kusifiwa na adui yako jua kuwa huna nguvu tena,kuna tetesi hela za mikopo mnapewa watu kama ww mtoa post muendelee kuimba mapambio mitandaoni,Mungu atawalaani kwa ujinga mnaoendekeza,tumia akili zako kidogo ujihoji kama kuna unafuu wa maisha kwa watanzania walio wengi kama mnavyosifia?
Kuna mama alisema hata kwenye maisha yetu ya kawaida unaweza kukopa kutoka kikoba kimoja unalipa kikoba kingine,nadhani serikali ya ccm ilisikia ushauri huu wanakopa kulipa madeni,iendelee kunyesha tujue panapovuja.
We haufai kabisa,mwenzio ameeleza kuwa kero zinazotatuliwa ni za wazanzibari tu,watanganyika tuna kero kibao juu ya huu muungano lkn hakuna anayesimama akatetea,hata kama ww ni ccm jitahidi kuchanganua mambo badala ya kumwona kila anayepinga muungano ni mjinga.Muungano ni wetu sote tunahaki ya...
Tatizo kubwa linalosumbua nchi yetu ni viongozi kuamini wanahakili nyingi kuliko wasio viongozi, awamu hii ya sita imekuwa ikipeleka fedha nyingi kwenye miradi ya shule sekondari bila kufanya tathmini kuwa je bado kuna uhitaji mkubwa wa vyumba hivyo? Mbaya zaidi fedha inayopelekea huko ni ya...
Ulikuwa hujui?ccm huwezi kupata uongozi pasipo kuwapa hongo wajumbe,kama huna hela usijiingize kabisa kwenye siasa za ccm,huko ndiko chuo cha wizi nchi hii kilipo,tokea ukiwa mdogo unaelewa kuwa uongozi unapatikana kwa kutoa rushwa tu so tafuta fedha kwa njia zozote zile ili upate madaraka
Utaratibu huo uendelee wizi umepungua sana huko primary,nilisikia kuna semina moja walimu wa primary wanalazimisha kuwa imla inatakiwa kusomwa mara nne,kitu ambacho waseminishaji walipinga na kuagiza imla isomwe kulingana na maelekezo ya mtihani husika badala ya kukalili kuwa lazima iwe mara...
Mkuu imeeleweka,watanzania wengi bongolala,wavivu,zube,unashangaa baadhi humu wanakosoa vitu vya kijinga mara lugha,eti weka summary,badala ya kusoma na kuelewa msingi wa hoja ya mtoa mada,watanzania tubadilike lazima tuwe na focus yetu kama taifa badala ya kuwa wapiga sifa tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.