Recent content by TZX2012

  1. T

    Habari Kutoka Ndani ya TRA: Madudu ya Mashine za TRA haya Hapa!

    Mkuu ,naomba sehemu hii kwenye biblia,iko wapi,nimtumie mtu@ wao@
  2. T

    Nauza magari haya

    Binti Kadogoo,umesema jambo zuri. Lakini ukikuta glass duka fulani mtu anauza kwa shg 10, mtu mwingine anauza kwa shg 12,si unamshauri uliyekuta anataka kununua kuwa linganisha na duka lile pale, wanaziuza hizo kwa shg 5,ila sijui kama kudumu,zimetumika vipi au zote hazina matatizo-hayo fanya...
  3. T

    Nauza magari haya

    Mkuu pole kwa kujibu challenges.ila ki biashara nenda taratibu hapa kuna watu wenye std 1 mpaka magwiji. Wote ni wateja,wengine si wateja,lakini wote wanayouliza yana busara. KWA KIFUPI MTU AKISEMA NAUZA PEN YA BIC KWA SHG 10. NI BORA KUNYAMAZA AU WEWE KUANZISHA THREAD YAKO UKASEMA NAUZA BIC KWA...
  4. T

    Nimeibiwa leo; jifunze na wewe usiibiwe kama mimi

    Mkuu MWanjelwa-hebu nieleze utamu wa hizo hotel ,nijitahidi siku moja.Huku Uswazi(DSM,NRB,MOM,ZNZ) zipo? Ninayo millioni 2 ya kulala siku 1, kesho yake nikimbie na taulo-ahaaaaaaaaaaha. Kama hazipo pa karibu ulipokaa ni wapi,nijaribu nauli?Asante.
  5. T

    Nimeibiwa leo; jifunze na wewe usiibiwe kama mimi

    Pole sana ndg yangu. Nakuelewa kabisa.Mimi nilimtumia mtu TZ simu iPhone4,AKAIDONDOSHA naiona lakini mtaa wenyewe na sehemu yenyewe ni Tandika Sokoni.Jamaa angebadilisha line tungemdaka,lakini naona anawasha na kuzima tu.Pale kuna watu na vibanda million.Tunaomba mungu wasii geuze spare,wezi...
  6. T

    CCM vs Chadema 2015 elections

    Wakuu salama? naomba kuuliza tu. Hivi mijadala mingi ninayoiona humu,kwanini nahisi shida ni chama kipi kitachukua madaraka na si Mkuu wa nchi atakuwa nani? Chama kinaweza kuwa kizuri, lakini kama hakina mtu anayestahili si itakuwa matatizo? Na kama huyu mtu ambaye kila m TZ anaona anafaaa, ni...
  7. T

    laptop 50elfu,photocopier Ir2018 laki1,meza za ofisi na viti kuanzia 90 elfu,Samsung phone 62elf etc

    Hi madiya85 unaweza kuchukua meza peke yake? au lazima uchukue vyote?Photoc kuna mtu wa Mg anataka ipelekwe kwake.Hizi decent table ziko DAR -Upanga.Ziko boxed labda unaweza kwenda kuangalia ufanye decision.@All the best
  8. T

    laptop 50elfu,photocopier Ir2018 laki1,meza za ofisi na viti kuanzia 90 elfu,Samsung phone 62elf etc

    Wakuu kufikia leo 23.Oct.2013 1930 imebaki Photocopier 1, meza(decent executive tables) 2
  9. T

    laptop 50elfu,photocopier Ir2018 laki1,meza za ofisi na viti kuanzia 90 elfu,Samsung phone 62elf etc

    Mfianchi asante. Usumbudu nina imani unamaanisha usumbufu. Kama ni hivyo ili nisikupotezee muda niambe mfalme wangu unahitaji picha ya kipi nitakutumia mkuu. Usije kupoteza muda wako.Kilicho baki ni Meza 3(decent office tables)na photocopier 2.
  10. T

    laptop 50elfu,photocopier Ir2018 laki1,meza za ofisi na viti kuanzia 90 elfu,Samsung phone 62elf etc

    samahani niko kwenye kazi za watu,lakini unahitaji kipi,tafadhali tuwasiliane kwa PM. Imebaki Photocopier 1, meza 2@,
  11. T

    laptop 50elfu,photocopier Ir2018 laki1,meza za ofisi na viti kuanzia 90 elfu,Samsung phone 62elf etc

    Hapana,nisamehe hana chumba- na sasa vimebaki vichache,asante@
  12. T

    laptop 50elfu,photocopier Ir2018 laki1,meza za ofisi na viti kuanzia 90 elfu,Samsung phone 62elf etc

    Hayo ni bei gani?Ni 50 elfu nayo? Kwa bahati mbaya/nzuri waliozichukua zote wanakwenda kuwapa basics watoto-nina imani wamefurahi-ngoja wasubiri hiyo expensive advice@
  13. T

    laptop 50elfu,photocopier Ir2018 laki1,meza za ofisi na viti kuanzia 90 elfu,Samsung phone 62elf etc

    Mkuu nifanyeje ili niwe serious seller?my dear Manka R,nisamehe sikujua nifanyeje mbona nimeweka na bei?
  14. T

    laptop 50elfu,photocopier Ir2018 laki1,meza za ofisi na viti kuanzia 90 elfu,Samsung phone 62elf etc

    Hizi digitali matatizo, nisamehe ndg yangu kwa lugha ya ukali sikujijua. Hiyo kampuni niliishangaa, nilitaka kujua tu?Niliyoiacha ilikuwa inaitwa kama Majembe Auction Mart nao walikuwa kampuni ya udalali. Sikujua hawa kazi zao ni zipi,ulitaka ninyamaze au niulize?Kama nao ni madali -sikujua.
Back
Top Bottom