Recent content by tzmzalendo30

  1. T

    Mjue Shabani Gurumo, rafiki na kipenzi wa mkuu wa kaya

    Na wewe kwa kujifanya unajua tu hujambo.... tetea kwa gharama zote.... ipo siku tutakata vichwa vyao.
  2. T

    Ukweli Kuhusu Electronic Fiscal Devices ( EFDs)

    Ndugu yangu, mimi ninafanya kazi Advatech Office Supplies hii ni kampuni imeanzia Kenya na ipo TZ, Zimbabwe, Rwanda, Uganda, Malawi, na sasa itafunguliwa ofisi Juba, South Sudan. Mimi ninafanya kazi ya ku Train operators (customers), ku install/program, ku repair, ku consult clients or new...
  3. T

    Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

    Kaka PASCO yaani tangu nianze kuupitia huu uzi jpili, nikaamua kupitia vitabu viwili nili download "Bring out the magics in you mind, by Al koran" na "The Power of your Subconscious Mind by Dr Joseph Murphy" yaani nimepata mwanga ambao naanza kuona wenzangu wana mzaha sana na maisha ya leo na...
  4. T

    Wapendwa wale masalia wa kisabato waliotaka kusafiri bila tkt za ndege wameishia wapi?walikuwa tabat

    Hizo dini zenu za kuletewa wala sipo nazo. Hapakuwa na haja ya kutusi mkuu, wewe fafanua unachoelewa. Mimi nasoma vitabu vingi sana na hata vya dini bila ubaguzi. Tatizo dini umezaliwa nayo ndiyo unashadadia tu bila kujua. Au na wakatoliki wana masalia? Sent from my BlackBerry 8520 using...
  5. T

    Wapendwa wale masalia wa kisabato waliotaka kusafiri bila tkt za ndege wameishia wapi?walikuwa tabat

    Ila mambo najiuliza, Yesu alisema ukiwa na imani kama chembe ya haradali (mustard seed) unaweza kuuamisha mkuyu hata ukaupeleka ukaotee baharini nao utatii. Hivi yule mkali wao pale vatican city alishawahi hata kuamisha sindano ndogo ya kushonea nguo kwenda pembeni millimeter 3 na sindano...
  6. T

    Wapendwa wale masalia wa kisabato waliotaka kusafiri bila tkt za ndege wameishia wapi?walikuwa tabat

    Kwa kweli kam ni imani basi hawa jamaa si wa kawaida, yaani wanasubiria pipa hata passport na viza, na ch kushangaza hata air-ticket hawana na wanasubiri kukwea. Dah! I wish niwaone leo. Ila hao wa mbeya madhehebu yalipozaliwa (joking) wanaojifanya ndege wa angani yaani hawapandi wala hawavuni...
  7. T

    Tanzanians to witness Solar Eclipse Spectacle on Sunday

    21st of June 2001 nilishuhudia kwa kutumia negative plastic material kama ile ya welder na kuhalalisha kile nilichofundishwa. Natumai bado kuamini binadamu alikuwa nyani, huwa hivi vitu vilinisumbua sana (reality of solar system na sisi kutokana na nyani).
  8. T

    Capt Komba aropoka, awaita maraisi wa Kenya, Uganda na Rwanda wa ajabu ajabu

    Tena spika angewaambia hao wageni wa make sure wanafikisha ujumbe. for the first time nahodha John kaongea la maana. Atakumbukwa kwa hilo pamoja na ile mi-song yake ya Hayati JK Mkubwa
  9. T

    Nini hatma ya Waziri na Wabunge wa Africa Mashariki?.

    hiyo hela ya kuendesha wizara ielekezwe kwenye huduma za afya vijini kuokoa roho za watu. tusiwalazimishe, wasitulazimishe kuwa nao. Tuna mengi ya kufanya siyo hiyo bla bla daily.
  10. T

    Believe it or Believe it not: September 11, 2011 Twin tower were hit by Military Plane

    Illuminati and Freemason were beyond this attack. Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  11. T

    Waziri Mkuu anapokuwa mswahili kwa kutozingatia muda mlipa kodi ndiye uhumia zaidi

    Mbona hawachelewi kwenye mikutano ya nje hasa ulaya na marekani? Au dharau tu kwa m-tz wa kawaida? Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  12. T

    Nape Amponda Mbatia Kwa Kusahau Alizawadia Ubunge

    Bora kuditopiliwa, maana mimi ningemfanyia ule mchezo wa kudhalilisha ili ahame mjini Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  13. T

    Nape Amponda Mbatia Kwa Kusahau Alizawadia Ubunge

    Pamoja na ccm kujiendsha hovyo hovyo ila I'm not sure kama kweli hawana mtu anayefaa kiasi cha hiyo nafasi akapewa Nape katika chama. Hovyo kabisa. Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  14. T

    CCM yatoa miezi 6 kwa waziri wa Elimu kujiuzulu....Vinginevyo itamtimua kwa nguvu

    Siasa mbaya sana, hasa Afrika. Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  15. T

    Rangi za bendera ni ujumbe, uzalendo au urembo?

    Uzalendo nchi hii ni sifuri mkuu. Hata viongozi wa nchi wanavyotudharau utadhani sisi ni vinyesi kabisa. Viongozi kwa matendo yao ndiyo wamesababisha hali ya kuua uzalendo. Binafsi mara ya mwisho kusimama ilikuwa kipindi hicho nasoma A-Level Jite Ute. Naipenda nchi yangu ila nakuwa disappointed...
Back
Top Bottom