Hivi Tanzania hakuna wazalendo wa kweli?
Wakina Kinana na Baba Makamba leo wanaongea kwa sababu tu wao wamesemwa!
Je alipopigwa risasi Lissu katika makazi ya Bunge, aliponyimwa matibabu, alipofukuzwa ubunge kwa hila, watu wanapotekwa,watu wanapouawa, watu wanapopotea, kati ya viongozi wote...