chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 11,996
- 20,644
Wasomi wetu wana vipaji vingi
Wakati akiwa chuo kikuu cha DSM, Dk Bashiru Ali alichukuliwa na Dk Bana( wote wahaya wa Bukoba) wakawa karibu,japo Dk Bashiru alikuwa na uwezo wa kawaida,lakini,kama idara hapo chuo kikuu, tuliamua tuache mtu wa kwetu,tumpike,tumsaidie,hasa ukichukulia kwamba kipindi hicho mwenye maksi za juu ndiye alipewa udhamini wa kusoma masters degree, ilikuwa lazima uwezeshaji uwepo katika academic staff ili wa -omukyaro tuliyemchagua apate skolaship afanikiwe
Hakika alichapa Kazi,na vijana wengi wametapakaa serikalini na walipita kwake.
Tukajua kwamba baada ya uteuzi,angesuka kada ya watumishi wa chama walioiva(kama wale wa chuo kikuu aliokuwa akiwapika,si unajua mtendaji dokta,atasuka timu ya chama inayomfanana ili wakitetee chama kisomi na kisasa)
Lahaula,kaingia tu,musiba huyo,
Ndugu yetu dk anakwama wapi ? Hajui chama kinahitaji viongozi watakaoandaliwa kushika nyadhfa kwa miaka kadhaa mbele? Sasa ndio akina Musiba? Mbona hatuoni weledi wake kupitia safu ya watendaji wa chama?
Nagoba