January Makamba, marafiki zako ndio maadui zako

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2019
Posts
761
Reaction score
6,985
Wakati tunakabidhi nchi kwa awamu ya tano hatukuwapa jukumu la kusimamia utekaji, kuzuia mikutano, kuzuia matangazo ya Bunge, kufanya shughuli za chama kuwa za nchi bali tuliwapa jukumu la MAENDELEO yetu.

Kwa sababu hawakupata nafasi hii kwa haki na hawakuwa na candidate sahihi imewalazimu badala ya kuwatumikia wananchi tumejikuta tunajiimarisha kuwatawala wale wote waliozaliwa na upeo wa kufikiri sawasawa kuhusu Tanzania.

Januari Makamba alishiriki goli la mkono na baba yake akatoka adharani kuwakebehi Watanzania akiamini Tanzania siyo kitu kwake Bali CCM ndiyo Kila kitu katika maisha yake. January pamoja na kushiriki dhuluma lakini alipoingia kwenye nafasi ya uwaziri alitambua anapambana na kundi gani, alijua waliopo hawataki awepo kwa sababu anawazidi uwezo na anakubalika zaidi.

Moja ya Jambo alilofanya January na akafanikiwa kwa kiasi kikubwa Ni issue ya mazingira ikiwepo kudhibiti mifuko ya plastiki, lakini alipofanikiwa hakuna kiongozi ndani ya chama aliyejitokeza kumpongeza ikiwemo kiongozi mkuu.

Mafanikio yake yaliambatana pia na kuungwa mkono na vijana wa vyama vyote pamoja na wanaharakati kupitia mitandao ya kijamii. Mafanikio haya yalikuwa ya Taifa ila hayakuwa mafanikio binafsi ya wana ccm kwani waliona kuwa huyu kijana anaanza kujijengea jina na kuonekana anafaa.

Hakuna mtu aliyeumizwa wala kupigwa katika kampeni ya mifuko ya plastiki, hakuna aliyekahidi kuondoa mifuko ndani kwake, hakuna aliyekamatwa kwa kuhujumu uchumi, hakuna aliyelia kwa kupata hasara Bali watu wote waliandaliwa na mkakati huu ukafanikiwa Kama ulivyopangwa.

Alisau kwamba awamu hii inataka kiki siyo mkakati, watu wanataka kuona wananchi wakiadhibiana kutekeleza mipango, watu wamezoeshwa kutengeneza tataizo then wakubwa wanakuja kulitatua na kupata sifa. Vita ya maplastic ilikuwa Vita ya Taifa na ilifanikiwa ila Vita hi iliacha wajeraha kwa wale waroho wa madaraka na kujiona kwamba umaarufu unaompata kijana huko tuendako utawagarimu.

Siku chache baada ya kampeni ile kufanikiwa Kigwangala aliibuka kwenye mitandao kumshambulia January hasa kuhusu utalii wa cable mlima Kilimanjaro. Ukiangalia tweet za Kigwangala zilikuwa tweet za chuki na kebehi zikionyesha kwamba yeye anakitu Cha ziada anakijua.January alikaa kimya lakini pia ukimya wa January haukumpendeza January bali alihamia kwa mzee makamba wakati huu akijiita mshauri wa wazee. Haya yote yalifanywa kukamilisha mkakati wa kumnyongonyesha January na mtandao wake.

Haikupita muda baada ya kuona Vita imepamba moto Bashe alifuatwa na kupewa maelekezo na aliyatekeleza, ikumbukwe Bashe alikuwa team Lowasa na anaamini wakina January walimtendea mzee wao ndivyo sivyo. Alipoona hasimu wake anatakiwa kuadhibiwa, alipoona kinana na Makamba wanaadhibiwa akaona naye ni muda wa kuondoa machungu ndipo akasonga front.

Bashe Bungeni walikuwa wakimwita mpinzani na hata viongozi wa chama kwa nyakati tofauti Wamewahi kumnyooshea kidole Kama mtu anayetumwa.Leo hii kwa sababu wazee wanatakiwa kuadhibiwa na kizazi Chao basi amepewa uwaziri. Wale waliokuwa ccm kindakindaki wameachwa pembeni.

Hi Vita siyo ndogo na wala siyo kubwa kwa sababu siyo Vita dhidi ya maadui wa Taifa letu Bali Ni Vita ya madaraka kwamba wapo watu ambao wao kutembelea V8 ni kipaumbele kikubwa zaidi kuliko kero za wananchi.

Endapo mnataka kujikwamua, endapo January unataka kujikwamua Basi kwenye fikra zenu msiwe wanafiki bali geukeni watetezi wa Taifa.

Miaka yote Mzee Makamba alikuwa anakula kwa mrija ila uzeeni amekuja kupigwa pigo ambalo usipo kuwa karibu naye na kumfariji linaweza kumwadhiri,alizoea kupigiwa makofi Leo amepigwa makofi..not easy.

January, najua kwa ujinga wako na kwa uchu wa madaraka utarudi kuwasifia walewale maadui zako badala ya kulisifia Taifa na kulitumikia Taifa. Fungukeni, vyama haviwezi kutufikisha tunapokwenda.
 
Hivi Tanzania hakuna wazalendo wa kweli?
Wakina Kinana na Baba Makamba leo wanaongea kwa sababu tu wao wamesemwa!
Je alipopigwa risasi Lissu katika makazi ya Bunge, aliponyimwa matibabu, alipofukuzwa ubunge kwa hila, watu wanapotekwa,watu wanapouawa, watu wanapopotea, kati ya viongozi wote wastaafu hakuna hata moja anaona kuwa huu ni uvunjifu wa haki za binadamu? Wako wapi watanzania wenye kusema ukweli, wenye kujua utu na haki maana yake nini, wazalendo wa kweli wenye huruma ya kweli na maskini?
Kwa nini wanSiasa wetu wamekuwa waongo kama Fatma Karume alivyouliza siku moja? Ni siasa tu. Na siasa tafsiri yake ni uwongo/ unafiki/kulinda cheo chako/kulaghai wananchi ukidhani kuwa ni wajinga/kutosema ukweli? Inasikitisha!
 
Simbachawene Aliboronga Ofisi Ya Rais Akaondoka Na Ripoti Ya Tume Ya Uchunguzi Ya Tanzanite. Rais Akasema Akikuteua Ukaharibu Hawezi Kukuteua Tena Ili Usiharibu Sehemu Nyingine Sasa Simbachawene Karudishwa Upya! JE Inamana Rais Kasahau Kauli Yake Au CCM Imehishiwa Watu Wa Kuteua?

Lawama zote kwa John
 
Hivi Tanzania hakuna wazalendo wa kweli?
Wakina Kinana na Baba Makamba leo wanaongea kwa sababu tu wao wamesemwa!
Je alipopigwa risasi Lissu katika makazi ya Bunge, aliponyimwa matibabu, alipofukuzwa ubunge kwa hila, watu wanapotekwa,watu wanapouawa, watu wanapopotea, kati ya viongozi wote wastaafu hakuna hata moja anaona kuwa huu ni uvunjifu wa haki za binadamu? Wako wapi watanzania wenye kusema ukweli, wenye kujua utu na haki maana yake nini, wazalendo wa kweli wenye huruma ya kweli na maskini?
Kwa nini wanSiasa wetu wamekuwa waongo kama Fatma Karume alivyouliza siku moja? Ni siasa tu. Na siasa tafsiri yake ni uwongo/ unafiki/kulinda cheo chako/kulaghai wananchi ukidhani kuwa ni wajinga/kutosema ukweli? Inasikitisha!
Hayo hayawahusu.
 
Wakati tunakabidhi nchi kwa awamu ya tano hatukuwapa jukumu la kusimamia utekaji, kuzuia mikutano, kuzuia matangazo ya Bunge, kufanya shughuli za chama kuwa za nchi bali tuliwapa jukumu la MAENDELEO yetu.

Kwa sababu hawakupata nafasi hii kwa haki na hawakuwa na candidate sahihi imewalazimu badala ya kuwatumikia wananchi tumejikuta tunajiimarisha kuwatawala wale wote waliozaliwa na upeo wa kufikiri sawasawa kuhusu Tanzania.

Januari Makamba alishiriki goli la mkono na baba yake akatoka adharani kuwakebehi Watanzania akiamini Tanzania siyo kitu kwake Bali CCM ndiyo Kila kitu katika maisha yake. January pamoja na kushiriki dhuluma lakini alipoingia kwenye nafasi ya uwaziri alitambua anapambana na kundi gani, alijua waliopo hawataki awepo kwa sababu anawazidi uwezo na anakubalika zaidi.

Moja ya Jambo alilofanya January na akafanikiwa kwa kiasi kikubwa Ni issue ya mazingira ikiwepo kudhibiti mifuko ya plastiki, lakini alipofanikiwa hakuna kiongozi ndani ya chama aliyejitokeza kumpongeza ikiwemo kiongozi mkuu.

Mafanikio yake yaliambatana pia na kuungwa mkono na vijana wa vyama vyote pamoja na wanaharakati kupitia mitandao ya kijamii. Mafanikio haya yalikuwa ya Taifa ila hayakuwa mafanikio binafsi ya wana ccm kwani waliona kuwa huyu kijana anaanza kujijengea jina na kuonekana anafaa.

Hakuna mtu aliyeumizwa wala kupigwa katika kampeni ya mifuko ya plastiki, hakuna aliyekahidi kuondoa mifuko ndani kwake, hakuna aliyekamatwa kwa kuhujumu uchumi, hakuna aliyelia kwa kupata hasara Bali watu wote waliandaliwa na mkakati huu ukafanikiwa Kama ulivyopangwa.

Alisau kwamba awamu hii inataka kiki siyo mkakati, watu wanataka kuona wananchi wakiadhibiana kutekeleza mipango, watu wamezoeshwa kutengeneza tataizo then wakubwa wanakuja kulitatua na kupata sifa. Vita ya maplastic ilikuwa Vita ya Taifa na ilifanikiwa ila Vita hi iliacha wajeraha kwa wale waroho wa madaraka na kujiona kwamba umaarufu unaompata kijana huko tuendako utawagarimu.

Siku chache baada ya kampeni ile kufanikiwa Kigwangala aliibuka kwenye mitandao kumshambulia January hasa kuhusu utalii wa cable mlima Kilimanjaro. Ukiangalia tweet za Kigwangala zilikuwa tweet za chuki na kebehi zikionyesha kwamba yeye anakitu Cha ziada anakijua.January alikaa kimya lakini pia ukimya wa January haukumpendeza January bali alihamia kwa mzee makamba wakati huu akijiita mshauri wa wazee. Haya yote yalifanywa kukamilisha mkakati wa kumnyongonyesha January na mtandao wake.

Haikupita muda baada ya kuona Vita imepamba moto Bashe alifuatwa na kupewa maelekezo na aliyatekeleza, ikumbukwe Bashe alikuwa team Lowasa na anaamini wakina January walimtendea mzee wao ndivyo sivyo. Alipoona hasimu wake anatakiwa kuadhibiwa, alipoona kinana na Makamba wanaadhibiwa akaona naye ni muda wa kuondoa machungu ndipo akasonga front.

Bashe Bungeni walikuwa wakimwita mpinzani na hata viongozi wa chama kwa nyakati tofauti Wamewahi kumnyooshea kidole Kama mtu anayetumwa.Leo hii kwa sababu wazee wanatakiwa kuadhibiwa na kizazi Chao basi amepewa uwaziri. Wale waliokuwa ccm kindakindaki wameachwa pembeni.

Hi Vita siyo ndogo na wala siyo kubwa kwa sababu siyo Vita dhidi ya maadui wa Taifa letu Bali Ni Vita ya madaraka kwamba wapo watu ambao wao kutembelea V8 ni kipaumbele kikubwa zaidi kuliko kero za wananchi.

Endapo mnataka kujikwamua, endapo January unataka kujikwamua Basi kwenye fikra zenu msiwe wanafiki bali geukeni watetezi wa Taifa.

Miaka yote Mzee Makamba alikuwa anakula kwa mrija ila uzeeni amekuja kupigwa pigo ambalo usipo kuwa karibu naye na kumfariji linaweza kumwadhiri,alizoea kupigiwa makofi Leo amepigwa makofi..not easy.

January, najua kwa ujinga wako na kwa uchu wa madaraka utarudi kuwasifia walewale maadui zako badala ya kulisifia Taifa na kulitumikia Taifa. Fungukeni, vyama haviwezi kutufikisha tunapokwenda.
Ubatizo Wa moto wacha waote vizuri
 
Baada ya kufanikisha wizi wa kura January alitegemea atapewa Uwaziri Mkuu, akaishia kufichwa kwenye wizara ndani ya wizara. Bado nafasi anayo maana naamini January ana akili kuliko hata mzee wa Burigi...
Agizeni popcorn, picha ndio kwanza inaanza. Kuna kuchafuana, kutekana, kuvuana uanachama, kufikishana mahakamani n.k
 
Dada you got a huge fan here!

Well articulated and well put!

Sasa subiri mambuzi loyal to Jiwe’s nonsense yatakavyo harisha humu!
 
Wangapi mana mie pia mtanzania sina chama lakini namwona JPM . Upinzani kuna wapiga maneno ambayo tunaweza kuyaskia hata taarabuni
Watanzania hawaitaki kabisa CCM Mungu saidia litoke hili joka.

Poleni watumishi
 
Upinzani ungetulia hii ndio nafasi nzuri ya kuwa na Tshekedi wao.

Kule CCM wakiumizana sana, wanalonga na mzee baba mwaka 2020 anaachia goli kwa wapinzani kwa makubaliano wamlinde yeye na famila yake.

Kisha wapinzani wakichukua mjengo kwa mtindo aliouza mjengo Kabila wanarudi kuwashitaki hawa genge la mafisadi kwa maovu yao ya zama zao madarakani.

Hapo inakuwa mzee baba na upinzani wamepiga goli 3 na timu ufisadi CCM Asili wana ambulia goli 0.

Tanzania inakuwa imebutua na kupata demokrasia kamili.
 
Point nzuri sana
 
UBINAFSI kitu kibaya sana! Hii nchi ilikua inawenyewe wakati mm na ww tunalia njaa wao walikua wanapiga nji hii!
 
Back
Top Bottom