Recent content by tz03

  1. T

    JamiiForums Tanzania Prof. Muhongo kajiuzulu Uwaziri, vipi Ubunge wa kuteuliwa?

    Mwachie aliemteua aamue. Acha wivu wajameni!!!khaa!!!watz tumezidi chonga midono kila kukicha!!!
  2. T

    JamiiForums Tanzania Escrow Scandal: Prof Sospeter Muhongo (Minister for Energy and Minerals) resigns

    Porojo za siasa ziko too much. Ni wakati muafaka kuangalia nani hasa anaehusika na upotevu wa mali ya umma na sio kushambulia mawaziri wasio na hatia. Ukizingatia tunapoteza hazina ya wataalam kwa watu wa hulka ya Prof. Muhongo. Wabongo,tutamkumbuka huyu baba,nipo hapa.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Panya Road wavamia maeneo ya Magomeni, Mwananyamala na Kinondoni jijini Dar

    Kwanza,tulaumu wazazi,wajue watoto wao wanafanya nini na wako wapi muda wote. Pili,turudishe accountability za mabalizi wa nyumba kumikumi. Tatu,Neighborhood watch ni muhimu kwa kila raia. Watu waelezwe kuwa ulinzi wa nchi ni wajibu wa kila raia. Nne,uongozi wa mitaa uamke kukabilina na...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Miraj Kikwete: Mimi na dada yangu Salama hatumiliki Kampuni ya Simba trust

    Based on ur last name,it's a shame to cook up story coz u know how much it takes when u carry those last names!!For u to insult HE The Presidents kids without any factual evidence is totally low!!
  5. T

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda ndani ya DC Jumamosi Nov 15,2014 saa 5pm

    Wewe uko DMV na itakuwa ni wale watu wachache wanaojulikana kuingilia mikutano ya wenzie na kufanya fujo. True fighter doesn't use force,itisha mkutano wako tupime wangapi wako tayari kukusikiliza wewe
  6. T

    JamiiForums Tanzania DMV USA: Protest to oppose and stop unconstitutional general meeting

    Hao watu wenye contact info wa hiyo protest hawana karatasi kwa hiyo suala la uraia pacha haliwashtui. Dotto Malongo anahudumia mataahira ndio maana na yeye akili zimemruka
  7. T

    JamiiForums Tanzania The influence of a single individual in the DMV Tanzania community The DMV!

    Huu mjadala ni wa kufungwa maana mahakama imetupilia mbali kesi yao
  8. T

    JamiiForums Tanzania The influence of a single individual in the DMV Tanzania community The DMV!

    Amerika hawana upeo mdogo kama uonavyo wewe. Ukienda mahakamani utajikuta wewe ndio unafaa kumlipa faini kwa kuandika uzushi na uongo. I hear about her,nafasi yake ya katibu wa tume ya uchaguzi,aliwabana sana waliotaka kuhujumu uchaguzi,matokeo yake mmeanza kumpiga vita mitandaoni kumbe ndio...
  9. T

    JamiiForums Tanzania MwanaKijiji: Hili ndilo jibu la hoja ya uraia pacha!

    Kikubwa ni kutofautisha hoja mbili:"HAKI YA KUZALIWA" AU "URAIA PACHA"
  10. T

    JamiiForums Tanzania The influence of a single individual in the DMV Tanzania community The DMV!

    Environmental =Libe Get a life young man!!!We are tired of YOU!!!!!!
  11. T

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya uchaguzi wa DMV, seriously you guys?!

    Lete facts please!walioleta hujuma mbona ni CHADEMA everyone knows. Wagawa karatasi za wapiga kura ni mpiga debe wa Libe(Jabiri Jongo-CHADEMA). Huyu bwana inabidi ajibu hizi tuhuma za kura kuzidi wapiga kura. Walioleta watu wanaoishi nje ya majimbo husika,yaani wakaazi wasio na sifa za kupiga...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Tanzania tumejiandaaje kwa Ebola?

    Nakuunga mkono,vilevile wananchi waelimishwe kuzuia kwa kuelewa chanzo cha ugonjwa. Repoti mbalimbali zinasema chanzo ni wanyama pori kama nyani,na popo na wengine. Pia nguruwe anaweza kuwa na virusi vya ebola. Unaambukizwa kwa kula hizo nyama au mizoga yao kuingiliana na vitu mbalimbali vya...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Rais wa Tanzania yupo Houston Texas: Je kuna umuhimu kuonana na Watanzania?

    Sawasawa ,namuunga mkono Mh. Rais. Mpaka siku tutakayojifunza heshima inakuja kwa kujiheshimu. So until we all learn that,then tuwe na nguvu ya kumlaumu
  14. T

    JamiiForums Tanzania Unaridhika na namna ya Mh. Kikwete anavyojibu maswali?

    Nimehudhuria mikutano mingi ya Mh. Kikwete,naweza kusema kuwa amenifanya niwe proud na nchi yangu kwa jinsi anavyoelezea watz mambo ya serikali. Ninaongea na waafrika wengi,wala hawajui kuwa rais wao wako hapa USA, wengine kama wa magharibi wanasema walioalikwa ni watu wanaojulikana na balozi...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Sitaki kuulizwa tena kuhusu kumtukana Mwalimu Nyerere

    Napendekeza kuwe na sheria za kupima damu kwa kushtukizwa ili kujua kama watu wanatumia vilevi wakiwa bungeni. Kwa nchi zilizoendelea, Maana eneo la kazi ukikutwa damu yako ina vilevi,unafukuzwa kazi au kusimamishwa kwenda rehab.
Back
Top Bottom