Vijana hacheni kutumika kwa njaa zenu tafuteni kazi halali za kufanya.. Sasa Lowassa Yule mgonjwa anatetemeka Kama Muhammad Ali atakuwa na rais wa nchi kweli?? Kwanza ccm wakijiloga kumpa mgonjwa ridhaa kupitia chama chao wajiandae na miZinga 24 baada ya kuapishwa... Hatutakii kurudia uchaguzi...
Kwa kifupi mwenye macho haambiwi tazama, kutokana na kujikanyaga kwa hoja dhaifu za wapinzani chati ya pinda kwa watanzania imepanda sana na bila Shaka ndie rais wetu mtarajiwa, ni ukweli kwamba aliundiwa Zengwe na wagombea wenzake wa urais ndani ya ccm, big up mtoto wa mkulima
Yaani wewe lemutuz ndio wa kumponda pinda Leo?? Hakuna kiongozi yoyote makini na mzalendo katika nchi hii Kama pinda....labda utuambie pesa ipi ilikwenda kwa pinda
Katika nchi iliyo jaa wanafiki duniani nadhani sisi Tanzania tunaongoza,watu majunguuu tuu wakiamka mpaka wakienda lala..yericko huyu anasifa ya ziada mwenzetu kajaliwa majungu, fitina, uchonganishi na kutunga maneno... Bahati mbaya tuu ile twaweza nayo Lowassa ana hisa Ila kungekuwa na shirika...
Ndg Simiyu,Lowassa anawapambe wengi sana,wengi wao pia ni waliberaliii na wengi wao wanafikiria kwa kutumia masogange.....acha wafu waZikane, baada ya kura za maoni Dodoma nadhani hata wiki haifiki tutakutana monduli( Kama sio juhudi zakeeeeee babaaaaa)
Aende china tenaa?Edward Lo-Sata Yuko matibabu ujerumani.... Hali dhoofu hali, Yuko service anarekebisha mwili kwa maandalizi ya kuongoza nchi inayoitwa KUSADIKIKA..... Tumeshtuka hatutakii mizinga 21.... Baaaaaaassss!!
Anaitwa Edward Lo-Sata.... Mutu gonjwaaaa sana....huyu atakuwa rais wa nchi ya kusadikika...kapania sana urais tatizo lake,waswahili wanasema mkamia maji hayanywiiii, Amini maneno yangu hatoyanywa kamweee
@ jojipoji,Nimechagua na kupiga kura mkutano mkuu wa taifa kuanzia Wakati wa mkapa, nimekuwa Mpiga kura Wakati wa jk pia,nadhani Jambo Hilo wewe ulikuwa unalisikia tuu au kusoma kwenye magazeti, huwezi kufananisha maneno ya kizushi waliyosema kuhusu jk ya Wakati ule na uhalisia kuhusu Lowassa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.