Recent content by tyuk

  1. tyuk

    Mbunge Saashisha Mafue adaiwa kuwalipa vijana walioajiriwa kazi ya muda ya Postkodi Tsh. 15,000 kwa siku mkataba wa siku 15

    Ukute mbunge kaamuwa kuwaongezea cha juu hao vijana lakini linapindishwa. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. tyuk

    Tofauti ya kesi ya Mbowe na Sabaya

    Huyu nashauri akae hata miaka 3 ili iwe fundisho maana kwa umri wake na mambo aliyofanyia raia ni hujuma nzito na mbaya sana kwa kundi la vijana hasa walio katika utumishi wa umma.
  3. tyuk

    Watanzania waliokwama Ukraine kusaidiwa kuondoka na Russia kutaichafua Sana nchi kipindi ambacho Russia inatengwa na Dunia

    Huyu jamaa si bure mlioko naye karibu hata kwa mnuso tu,kamateni kesho mpeleke MILEMBE.
  4. tyuk

    Watanzania waliokwama Ukraine kusaidiwa kuondoka na Russia kutaichafua Sana nchi kipindi ambacho Russia inatengwa na Dunia

    Hata mimi huyu mwamba simuelewi,hivi inakuingia akilini kuwa koelekea hakuna uhakika wa maisha anakuja mtu kukuokoa unasema acha nife,wewe utakuwa huna ndugu wala mwanao ambaye yuko huko kunakolipuka mabomu. Kwa akili yako hata leo mbowe baada ya kuachiwa huru na wenzake angekatalia gerezani...
  5. tyuk

    Mwananchi: Aliyemtishia Nape bastola ni miongoni mwa wanaoshikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya mfanyabiashara Mtwara

    Huyu wamfanyizie assacination maana alishazowea kuua huyu na kujifanya hajulikani
  6. tyuk

    Vodacom hiki mnachokifanya kwa wateja wenu ni uhuni wa hali ya juu sana. Jirekebisheni haraka iwezekanavyo

    Pole,wewe bado unatumia voda mimi nilishaiweka hata namba yake siikumbuki kwa sasa
  7. tyuk

    Mauaji Mbeya: Afisa Ustawi wa Jamii adaiwa kunyongwa hadi kufa

    Mimi nilikuwa nawaza kama wewe, nikafikiria sana mwisho nikaona hivi haya yote yanayotokea huenda ni kwa sababu ya huu uhuru wa vyombo vya habari na vyanzo mbali mbali kama mitandao ya kijamii vimechagiza haya yote tunayoyashuhudia leo na jana yaonekane na yafahamike? Nikaenda mbali zaidi na...
  8. tyuk

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Wanatuzu mkuje kwenu simiyu~maswa aje Morogoro wilaya yoyote,bhabei chyuuu!
  9. tyuk

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Maswa dc aje mlimba dc
  10. tyuk

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Wakuja Maswa dc nije mlimba dc
  11. tyuk

    Tazama mazingira ya shule kumi bora Tanzania mwaka 2021

    Na kingine walimu hakuna,unakuta shule ina watoto mia 5+ mwalinu wa hisabati na physics mmoja au wawili tu.
  12. tyuk

    Tazama mazingira ya shule kumi bora Tanzania mwaka 2021

    Mzazi akiambiwa achangie chakula cha mwanae anasema serikali imakataa michango
Back
Top Bottom