Usajili wa magari ya Serikali umefikia namba STL, magari binafsi mbona yamekaa sana namba D?

form 4 kuna topic ya probability,

n!, mkali wa probability fanya hapa hesabu tujue D, yanapaswa kiwa mangapi!
Kama wanasema series moja ni magari Mia 999 Basi hapo D kuna magari mengi mno.
Maana
DAA=999
DAB=999
DAC=999
......
DAZ=999
Maana yake
DAA-DAZ=24×999=23976
Kwa hiyo mpaka iishe D aiseee inahitajika magari mengi
Maana hapo nimepiga mahesabu ya DA tu bado ya DB napo 23976
Yaani mpaka iishe D inabidi iwe hivi
24×24×999=575424 ndo tutahama kutoka D kwenda E
 
DAA
Hapo kwenye A ya kwanza lazima magari yafikie 9999 ndiyo no ishift kuwa DAB
Kwenye B lazima magari yafikie 9999 ndiyo ishift kuea DAC mfano gari yangu ni DDW 275 mpaka ilipo hapo ilihitaji mgari mengi sana yasajiliwe...ndiyo maana sasa hivi nafikiri tupo kwenye DM....
Mkuu tarakimu zipo tatu tu nadhani ulimaanisha 999
 
Kuna jamaa anasema zinaanza Na 101 na sio magar 999 tena bali mi 899 kwq maaana ya 1000 toa 101 ambayo ndo namba wanaanza nayo na kweli sjawahi ona gani inaa namba 001 au 002 au 010 au 089 au 099 labda kama kuna mwenye ushahidi aweke hapa picha tuone.
Kama kwenye herufi moja kuna magari 899 Basi ili tuhame D inabidi magari 24×24×899=517824 yaingizwe ndo tutahamia E
 
DAA
Hapo kwenye A ya kwanza lazima magari yafikie 9999 ndiyo no ishift kuwa DAB
Kwenye B lazima magari yafikie 9999 ndiyo ishift kuea DAC mfano gari yangu ni DDW 275 mpaka ilipo hapo ilihitaji mgari mengi sana yasajiliwe...ndiyo maana sasa hivi nafikiri tupo kwenye DM....
Tuko DP mkuuuu
 
Good...

Nimekuelewa saana ila kuna tetesi kuwa kwa mfano number dqr 206 izo ni namaba wanazitoa kwa ajili ya magari yenye CC flani... Then dqr iyo iyo kuanzia 500 pia ni magari ya cc ingine... Ni kweli hii mkuu.

Kamba unaweza ikuta scania ina dqz alafu ya muda tu.
Kila herufi ni Magari 899
Kwenye herufi O na I hazipo sababu zinaingiliana na 0 na 1 hivyo kwa kila A hadi Z ziko 24 ambayo hufanya jumla ya magari kwenye A kuwa 21576
Hapo ni DAA hadi DAZ
Tukija kwenye DBAhadi DBZ nayo ni 21576
Ukizidisha kwa 24 ambayo ni Herufi ya 3 Unapata Magari 517824

Hivyo Complete ya DAA hadi DZZ itakuwa na Magari 517824

Jumla ya Magari Tanzania haizidi 2Mil kwa Magari Binafsi

Pikipiki na Bajaj zishazidi 1.3Mil maana zenyewe zimekamilisha A hadi sasa ziko C bila ingiliwa kama Magari yalivyoingiliwa....

Kuna uwezekano Mkubwa sana Pikipiki zikazidi Magari Miaka 5 ijayo

Ila DQ imechelewa sana maana yake gari zenye namba Q hazijafika 20000
 
Hakuna kitu kama hicho
Good...

Nimekuelewa saana ila kuna tetesi kuwa kwa mfano number dqr 206 izo ni namaba wanazitoa kwa ajili ya magari yenye CC flani... Then dqr iyo iyo kuanzia 500 pia ni magari ya cc ingine... Ni kweli hii mkuu.

Kamba unaweza ikuta scania ina dqz alafu ya muda tu.
 
We jamaa hivipunde umenichekesha.
Ipo hivi, hayo magari ya serikali si kwamba yamefika usajili wa STL bali ni hivi
STL _secta na taasisi za lazima
STK_Sekta na taasisi za kiserikali
DFP_ Donor funded projects
SU_Shirika la umma
SM_serikali za mitaaa
N.k
STM INAMANISHA NINI?
 
Mkuu ulichemka sana kuhusu STL.
STLna STK are the same.
 
Back
Top Bottom