Hilo nalijua Sana kaka lazima nichambue lipi la kunijenga na lipi la kutonijenga
Kwa swala la kumpiga huwa akikuta ni kama nimechukia utasikia ukinipiga tu namwambia bosi wako tuone Kama utaendelea na kazi na ni kweli nikithubutu kumpiga akienda kwa bosi lazima nishitakiwe na kuweka tabia...
Mwaka mmoja sasa sikuwahi kuwa na tabia ya wanawake nje maana tuliwekeana ahadi tangu mwaka 2014 tulivyomaliza form four akaenda chuo cha nursing nami nikaenda form five nilipomaliza form six tukaanza harakati za kuishi pamoja na mpaka sasa ndiyo tuna mwaka mmoja na hiyo tabia sikuwa nayo
Kwa ujauzito hana labda hilo
Kimjazacho mtu ndicho kimutokacho nimekuwa nikimwambia mara kwa mara kwamba au unapenda kutoka wanaume wengine maana huwezi ukawa unaniambia nina tabia mbaya na wakafikisha sioni nina tabia gani mbaya
Nimeoa Nina mke na nina mpenda kila kitu nampa na isitoshe mshahara wangu ukitoka huwa namwambia na tunapanga bajeti yetu tunaenda wote Bank kutoa hela na ananiambia chukua na rist nachukua
Lakini cha kushangaza ameanza tabia ya kunisingizia na maneno ya kwamba namnyanyasa na nina tabia mbaya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.