Habari wana JF,
Nina mzigo wa hizi kitu nauza bei ya jumla, zipo 25 Kila moja inaenda 10,000...tu. Mzigo upo Dar es Salaam.
Kama upo interested nicheki 0783350399.
Ajira ni aina fulani ya utumwa....mtu kakaa tu huko anaamua kukubdilishia mwelekeo wa maisha bila kujali umeinvest nini eneo ulipo....mali, friendships, relationships, biashara n.k.
Usiguse SUKARI kabisa nasisitiza usiguse ndani ya mwezi mmoja iwe kwenye chai soda au juice acha sukari...usiguse chakula chochote kilokaangwa kwenye mafuta mengi, kula protini Kwa wingi ikiwemo mayai, karanga n.k. hii itakufanya ujiskie umeshiba muda mwingi hivo utaepuka kutafuna tafuna...
Ni ukweli usiopingika kuwa mfumo wetu wa elimu unapumulia mashine kwa sasa.
Mazao yanayozalishwa na mfumo huu yamedoda sokoni, Hali si Hali, ni muda sahihi sasa wa kufanya mabadiliko.
Mfumo wa sasa Tunafundishwa mambo mengi yasiyo na tija kwa sasa,tena kwa lugha tusiyoimudu. Tunafundishwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.