Recent content by tyc20

  1. T

    JamiiForums Tanzania Hivi mstaafu Kikwete huwa haambiwi na kupewa taarifa kuwa watu wanamsema vibaya na kumchukia?

    Yaani mtu aliyekaa Ikulu for 10 years aogopwe kusemwa Ingekuwa kusemwa vibaya kunatoboa utumbo basi angeshatoboka tangu akiwa waziri wa fedha Kama wewe unamsema vibaya basi jua kuna watu wengi tu wanamsema vizuri na kumnenea yaliyo mema
  2. T

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wa kiafrika ambao wanacheza kwenye ligi kuu ya England 2025/26

    Alafu kuna takataka humu zinakuja zinaanzisha uzi eti Kocha Hemed Moroco afukuzwe Wkt ulaya nzima hatufukishi hata wachezaji 10 wanaocheza huko
  3. T

    JamiiForums Tanzania Timu ya Taifa ipate kocha mwingine, Hamad Ally awe saidia kocha

    Kama huna hoja piga kimya Sasa kwa Starz hii ya wachezaji tulionao unatarajia tuchukue Kombe gani.. CHAN Afcon au World Cup..!?? Starz ishafundishwa na makocha wa kila aina na hakuna hata mmoja aliyetupa mafanikio haya aliyofikia Hemed Moroco..!!
  4. T

    JamiiForums Tanzania Timu ya Taifa ipate kocha mwingine, Hamad Ally awe saidia kocha

    Hakuna Kocha anafukuzwa kisa uteuzi wa wachezaji, Kocha anaondolewa kutokana na perfomance mbovu Mpaka sasa hakuna Kocha aliyetupa mafanikio Starz kama Hemed Morocco, Tuwe wakweli, tuache unafiki na husda. 1. Chini ya Hemed tumeweza kufika robo fainali CHAN kwa mara ya kwanza na isivyo...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Hii hali ya kuwa kuna waajiriwa wana maisha mazuri kuliko wafanyabiashara kibao ni kitu watu huwa hawataki kukubali ila ukweli hauwezi kubadilika.

    Ukiwa katika ajira una lenga kupata mshiko, Ukiwa umejiajiri una lenga kupata mshiko, Na kote unaweza kupata maisha mazuri tu ya hadhi yake Ila when it comes to utajiri, penye fursa ya kupata utajiri ni kwenye biashara Na angle ya biashara unaweza kuifanya hata ukiwa umeajiriwa, ukawa na...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Baada ya Mzize kukosa goli la wazi ndipo dili la nje likafutika ghafla

    Mzize ni tofauti na kina Aziz na Chama ambao wameenda arabuni age ishasonga, Mzize yeye bado ana umri mdogo wa kuendelea kujengeka na kuimarika Hivyo fursa ya kwenda nje ya nchi ingemuimarisha sana ktk career yake kisoka na kimaslahi Angalia kina Samatta, Msuva, Kelvin John, Novatus Dismas...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Kwa taarifa tu mkude ndie mchezaji pekee ataagwa na timu mbili tofauti kwa heshima..Simba day na wananchi day

    TATHNIA...!?? 🤔😅😅😅 Nilishakushauri uwe unampa simu mtoto wa mjomba wako akusaidie kuandika
  8. T

    JamiiForums Tanzania Hivi unajua million 1.97 ya Tanzania ni sawa na laki 1 ya Kenya

    Unajua maana ya purchasing Power Au umekariri tu hizo namba pasipo kujua mtaani hio pesa ya kikenya unanunua nini na nini
  9. T

    JamiiForums Tanzania Kocha Florent Ibenge anavyoisuka Azam sitoshangaa msimu ujao akibeba kömbe la NBC hata Shirikisho, Mark My Words

    Lab Azam Labda wakasumbue shirikisho huko Caf, ila sio ligi ya bongo ambapo hawa mapacha wawili wanabebwa sana na marefa kwa makosa ya kibinadamu Ingekuwa ligi yetu ipo fair ktk maamuzi ya marefa, basi Azam na Singida wangekuwa Title contenders wazuri tu
  10. T

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wajue wabunge 10 Walikouwa wabunge na kushinda kura za maoni kisha kukatwa na Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM

    Unajua sababu ya Fred kukatwa ni nini au unalaumu tu..!??
  11. T

    JamiiForums Tanzania SIRI YAKOO USIMWAMBIE MTU::;;,,

    Tafuta mtoto mmoja wa mjomba wako awe anakusaidia kuandika
  12. T

    JamiiForums Tanzania Mambo makuu niliyobaini katika hotuba ya polepole usiku wa kuamkia leo ni kama ifuatavyo

    Daah Inaonekana wazi umesoma ila elimu bado haijakukomboa kifikra Hivi kweli Unazungumzia kusomesha mtoto shule alafu utegemezi pekee wa ajira uwe ni Serikalini..!?? Hivi unajua utajiri wa rasilimali tulionao Watanzania ktk nchi yetu kuanzia watu, ardhi, mazao, vivutio vya utalii, mabwawa...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Wabunge wataka Rais Ruto aitwe na Spika kwenda bungeni kutoa Ushahidi wa Hao Wabunge Wala Rushwa. Bunge la JMT linaweza kumuita Rais akathibitishe ?

    Cha ajabu hapo ni kipi sasa..!?? Ilhali wabunge wa Upinzani ndio wameanzisha hio hoja ya kumtaka Rutto afike mbele ya Bunge lao. Nina uhakika Rutto hatofika bungeni kwasbb watoa hoja ni wapinzani na ni minority compared to ruling party MPs Mbona huku enzi za Marehemu Samwel Sitta kina Zitto...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Hakuna mashabiki wanafiki kama Simba FC

    Simba imemsajili Selemani Mwalimu sio Salimu Pia ndoto ya mchezaji yoyote yule ni kucheza Vilabu vikubwa au vyenye malisho bora iwe África au nje ya Africa Mzize anatakiwa aachane na Vilabu vidogo vidogo atafute malisho mapya kwenye timu kubwa zilizo hata top10 ya Vilabu bora África Selemani...
  15. T

    JamiiForums Tanzania GE2025 Askofu Gwajima: Naombeni ndani ya siku 10 fungueni Makanisa ya Ufufuo na Uzima, msipofungulia nitasema neno ambalo watu watastaajabu!

    Ashikwe vibaya na Gwajima..!?? 😅😅 Mnachekeshaga sana na akili zenu za kitoto
Back
Top Bottom