Recent content by tya02

  1. tya02

    Sitaki kuona siku zangu(period) mwezi ujao

    Tayari ninatumia uzaz wa mpango.
  2. tya02

    Sitaki kuona siku zangu(period) mwezi ujao

    Habar zenu, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nataka ni skip mwezi ujao nisione period kabisa,dawa gani inafaa kumeza? Au nitumie kitu gani hata natural ambacho kitafanya ni skip mp? Karibuni .
  3. tya02

    Hamisa Mobetto avujisha picha zake na Diamond

    Dah!ila kama kweli kazaa na daimond hamisa ni wale wanawake nyoka kabisa hafai hata kumsogelea,alichofanya sio kumkomoa bali ni kuumiza nafsi ya daimond,na hakuna mwanaume anayekubali kushindwa yatamtokea pua. Nampenda sna zari,kama mwanamke nimeumizw sana jamani mwanaume anauma haswa...
  4. tya02

    Msaada watanashati; Nina kero moja tu ya nywele za kwapani

    Fanya waxing...ni the best tho inauma kama hujazoea,ila ni nzuri sana na nywele zinachelewa kuota
  5. tya02

    Hii stail aliyotumia Diamond, kumtakia Heri ya kuzaliwa Rayvany kiboko!!!

    Hahahhaha maana anavyomchukia dai na zari haha hapo huko lazima tumbo linamuuma...haha
  6. tya02

    Hamisa Mobetto ndiyo mke mtarajiwa wa Diamond, Zari asahau!

    Hahha nimecheka my dia eti ajiandae na mimba nyingine haha .labour ambassador haha si walimsema sana zari haha zamu yao...na bado
  7. tya02

    Hamisa Mobeto athibitisha kuzaa na Diamond

    Na zari alivyo yule atakomaa mpka kieleweke,ila mimi sidhani kama yule n mtoto wa daimond shilawadu hao wakina suddy ndio wanayakuza n wanatafuta sababu tu ili wapate cha kusema maan,na hamisa amewakomesha sana amekaa kiya na akae hivyohvyo anayetaka picha atoe pesa..baba mtoto sijui...
  8. tya02

    Vita vya Zarithebosslady havijawahi kumuacha mtu salama

    Hii imesaidia sana matusi kupunguzwa kwenye ule mtandao,looh!!maisha ya mtu watu wanataka wapange,sio kwa zari tu hata kwa wema na kila msanii,nimefurahi kabisa,waache kumpost na kila mtu apost mambo yake.
  9. tya02

    Ali Kiba awavunja mbavu Clouds Media kwa Kipensi cha ajabu alichovaa

    Hahaha jamani mna vituko hahaha
  10. tya02

    Vanessa Mdee aachana rasmi na Jux

    Hahah ufupi sio issue ,ttz walikua hawaendani kbsa....
  11. tya02

    Vanessa Mdee aachana rasmi na Jux

    Hahahahahah ndio ..na nilikua siipendi hy kapo...we mwenye roho nyepesi kama karatasi kufa na huruma yako
  12. tya02

    Vanessa Mdee aachana rasmi na Jux

    Bora maana walikua hawaendani kabisaaaaA....yaani nimefurahi sanaaa....vanesa utapata size yako mama mtakao fit...sio jux...yaan mlikua hampendezi kabisa
  13. tya02

    Mkichat kila wakati "Niambie"

    Hahahaha kama hvyo sipendi mimi
  14. tya02

    Mkichat kila wakati "Niambie"

    Mi sipend mtu aniambie usiwaze,usikonde !!yaani nayachukia hayo maneno ..unamuuloza kitu anakwmbia usiwaze,jamani vijana tuache hya maneno.:).
Back
Top Bottom