Recent content by Two mbili

  1. T

    Je ni kweli Kikombe cha Babu kilikuwa kinaponya?

    Hivi huyu Babu Ambilikile Mwasapile alitunukiwa nini na taifa hili kama tuzo ya heshima kwa ugunduzi wake wa muda mfupi uliokonga akili na mioyo ya wasomi na viongozi wakubwa wa taifa hili na hata majirani!!!!!!!!!!!!!
  2. T

    Huyu mama ni mpotoshaji kuhusu masuala ya ndoa. Adhibitiwe

    Hivi huyu mama Tery si nakumbuka kipindi cha nyuma alikuwa anafanya sana campaign za ukimwi kwenye stations za redio nae akiwa mwathirika?wanawake wote wenye akili na ambao ni wife material hawashughuliki na hayo mafundisho yake.na ukikuta anaehangaika nae ni wale shindikana(majumbani) au...
  3. T

    Msajili wa Vyama vya Siasa: Serikali ya Awamu ya 5 inachukizwa na Wapinzani wasiofuta taratibu za nchi

    Mtu mwenye akili si lazima aongee kama hana la maana!Wote twajua wezi hawamwgopi mbwa kwa sababu ni mbwa!ni kwa sababu yuko macho usiku lindoni kubweka na kufukuza wezi.
  4. T

    Baada ya kampuni kuuza hisa na chama kutokua na pesa wamemshauri arudi nyumbani

    Anae weza kuzungumzia habari za Lissu kwa namna ya mzaha namna hii ni shetani mwenyewe ambae hana cha kupoteza tena mana kama ni hukumu kasha hukumiwa kitambo.Hata huyo aliyehusika na jaribio la kumuua hana uwezo wa kusema haya kwani hakuna siku nafsi imeacha kumsuta na kumhukumu hata kama...
  5. T

    Baada ya EU, Serikali ya Marekani nayo yaugeukia utawala wa Rais Magufuli

    Siku zote mambo yanayoendelea nyumbani kwako yatajulikana na majirani au wageni kwa viashiria kutoka humo nyumbani kwako.
  6. T

    Baada ya EU, Serikali ya Marekani nayo yaugeukia utawala wa Rais Magufuli

    Huyu bwana anajuaga kushusha madini!
  7. T

    Kutamani wazungu waingilie siasa zetu ni ukosefu wa akili

    Hivi kabla ya kuwahusisha wazungu au mgeni yeyote awaye yote toka nje,ya nchi yetu Tanzania sisi watanzania wazalendo wenyewe tunayaona hayo yanayo lalamikiwa au kusemewa na wazungu?Na kama yapo je tumeridhika nayo kama sehemu ya maisha tuliyokuwa tunayamani kwa muda mrefu?
  8. T

    Baada ya EU, Serikali ya Marekani nayo yaugeukia utawala wa Rais Magufuli

    Kweli akili saa zingine ikikataa,unajribu ujinga!!!!!!!!!
  9. T

    Waliohama CHADEMA ili kuunga mkono juhudi waanza kuomba kurudi

    Mkuu kama hizi habari ni za kwel,i wasubiri malipo ya umalaya wao wa siasa!Nitashangaa sana mtoto wa kambo kutunzwa kama mtoto halali!Hayo mamilioni waliyo hongwa lazima zitawatokea kwenye matundu mengine ya mwili! Kama wenzao walio alikwa kistaarabu jumba jeupe,mwisho wa siku wameelezwa wazi...
  10. T

    Mbunge wa Simanjiro, James Ole Millya(CHADEMA) ajiuzulu Ubunge na kujivua uanachama, ahamia CCM

    Kwa Ole Milya kujiuzulu uanachama na ubunge wa CHADEMA na kijiunga na sisiemu sasa nimeanza kushawishika kuamini kuwa mbali na kufika bei kama ilivyo zoeleka sasa,kuna lingine nyuma ya pazia.Ni vyema na ni busara sasa uongozi wa juu wa CHADEMA uukubali ukweli kuwa kuna shida kubwa ndani ya...
  11. T

    Mliokuwa 'mkimdhihaki ' Rais Dr. Magufuli juu ya Ununuaji wa Ndege Kubwa pateni mfano huu Kuntu wa Kenya

    Mkuu afadhali umemjibu huyu kenge maji!Ila wale wanowakamata wachochezi mbona wana ubaguzi?huyu angefa kukamatwa na kuhojiwa ni wapi watanzania wamepinga kununuliwa kwa ndege?Watu walihoji mchakato mzima wa ununuzi wa hizo ndege haukuwa shirikishi kwa vyombo husika ili nao watoe ushauri wao n.k!
  12. T

    Yaani tamasha la Tulia limeendelea bila kujali maombolezo!!

    Sijui siasa zina sumu gani kali hivi ya kufisha akili,utu,ubinadamu na hata hofu ya Mungu!Mtu utamkuta ni msomi mzuri na wa elimu kubwa,ila akiingia kwenye siasa ni AIBU tupu!Kabla ya siasa utamkuta mwingine ni muumini mzuri sana ktk IMANI yake lkn akionja tu siasa anamfananisha Mungu na mjomba...
  13. T

    Je, Ukosefu wa fedha ulishawahi kukudhalilisha? Share experience yako

    ACHA MAMA ABADILI VITENGE KWANZA!!!!!!!!!!! Ubarikiwe!!!!!!!!
Back
Top Bottom