Recent content by Two Eyes

  1. Two Eyes

    PreGE2025 Mbowe: Makubaliano na Jeshi la Polisi yamefikiwa kuwa maandamano yataendelea kama yalivyopangwa

    Samahani jamani naulizia kitu ambacho hakiendani na mada, hivi huyu Benson Kigaila si yule ambae mke wake ni miongoni mwa wale tunaowaita COVID 19!? Nijibuni then nitasema kitu kwa manufaa ya wengi.
  2. Two Eyes

    PreGE2025 Mkuu wa Majeshi: Baadhi ya Wakimbizi wamepewa teuzi Serikalini katika nafasi zenye maamuzi

    Tiss waingie kazini sasa washapewa hints..mama kaongea vizuri kweli katoa taadhali 2024,2025 vyombo vya ulinzi na usalama viwe makini kweli na kujiandaa kwa lolote...
  3. Two Eyes

    PreGE2025 Upendo Peneza ahamia CCM, awananga CHADEMA

    Labda Kama akina mbowe ambao wao tauari wanapesa sohuwezi kuwabadilisha kwa vipande 12 vya fedha..ila wengine ukifika tu bei wanasaliti kambi japo si vibaya Sana kwasababu nao wanamaisha inabidi yaendelee plus majukumu...mfano Mtatiro,Zitto, Nassari,Mdee na wenzake, na wengine wengi
  4. Two Eyes

    PreGE2025 Upendo Peneza ahamia CCM, awananga CHADEMA

    Katumia Haki yake ya kikatiba sioni tatizo..shida inakuja baadhi wanapoanza kumtukana na kumpa majina kibao wakati huohuo ccm wakihamia huko mnawapongeza na kuwasifia wakati wote hao wanatimiza wajibu wao kikatiba wa kujiunga na chama chochote Cha kisiasa..
  5. Two Eyes

    Maajabu: Aliyehubiri Injili aswekwa jela, anayewapachika chupa watu makalioni aachiwa huru

    Jela kwa sisi watanzania wanaenda watu wasio na pesa tu..
  6. Two Eyes

    Mjomba tutaua wangapi ndio turidhike?

    Mjomba anadhani atatawala milele amesahau umri unaenda atawaachaje vijukuu vyake watoto wake wataishije!? Juzi nasikia amezidi kujiimarisha kijeshi kwa kuunda kikosi maalumu cha special ops yote hiyo kuwatisha wakosoaji wake..mjomba nna mengi ya kukuandikia kwa Leo naishia hapa..
  7. Two Eyes

    Kumilikisha bandari kwa wageni kunaathiri maslahi mapana ya kiusalama na kiuchumi ya nchi

    Kweli ccm hamnazo unaringanisha tz na marekeni ambazo zina well and the most sophiscated system za kiulinzi halafu huko ulikokutaja hawajamuachia mwarabu amiliki %100 bila kuulizwa..
  8. Two Eyes

    Bandari haijakodishwa bali imeporwa

    Mnyonge mnyongeni haki yake tumpe JPM kwenye rasilimali alijitahidi sana kwenye madini aliongeza umiliki Wa govt kutoka %10 mpaka %16 na hapo hatujawekeza pesa zetu %100 uwekezaji Wa pesa ni wao but kwenye hili La bandari tayari govt imewekeza trillion of money anakuja mjinga mmoja anasema...
  9. Two Eyes

    Mkataba wa kishenzi ni marufuku Tanzania, kama wana dhamira njema, mazungumzo yaanze upya

    Kuna tetesi wafanyakazi Wa bandari(wale waajiriwa) wameambia wachague kubaki kwa mwarabu au wapelekwe serikali kuu daaah!! Tz my country nn kinakupata!!
  10. Two Eyes

    Mkataba wa kishenzi ni marufuku Tanzania, kama wana dhamira njema, mazungumzo yaanze upya

    JPM Tutamlaumu Kwa kuua democrasia na si kuuza rasilimali za nchi
  11. Two Eyes

    Tundu Lissu kama JPM, ni mtu mkweli. Asema ukweli jinsi ukomo wa uongozi ulivyoyeyuka CHADEMA

    Zito alikua haaminiki !? Kutokuaminika kwa Zitto kuna uhusiano gani na kunyofoa kioengele cha ukomo wa mwenyekiti....na hayo Ndo maneno waliolishwa wanaCDM Kipindi kile ili tu kumuondoa zito na mwenyekiti aendelee milele..na wakafika mbali wakanyofoa kipengele cha ukomo Wa mwenyekiti..
  12. Two Eyes

    Tundu Lissu kama JPM, ni mtu mkweli. Asema ukweli jinsi ukomo wa uongozi ulivyoyeyuka CHADEMA

    Pasko kakosea nn sasa hapo yeye kamsifia lissu kua mkweli kuhusu mwwnyekiti Wa maisha mwamba ni kweli kipengele kiliondolewa ili tu mbowe aendelee na walifanya hivo ili kuua Fikra kama za kina Zitto kabwe za kuutamani uenyekiti
  13. Two Eyes

    Tundu Lissu kama JPM, ni mtu mkweli. Asema ukweli jinsi ukomo wa uongozi ulivyoyeyuka CHADEMA

    Kiukweli leo ndo najua chadema Wana viongozi Wa Maisha haijawahi kutajwa hii kwamba waliondoa kipengele cha ukomo Wa viongozi wao nadhani hapa mlengwa alikua ni mweneyekiti mbowe aendelee kusalia kwenye kiti kwa kisingizio hawana mtu wa kushika wadhfa huo inasikitisha na kufikirisha sana nadhani...
  14. Two Eyes

    Tundu Lissu kama JPM, ni mtu mkweli. Asema ukweli jinsi ukomo wa uongozi ulivyoyeyuka CHADEMA

    Kilichomkuta Zito ni nia yake ya kugombea uenyekiti na sio urais..na huyu lissu ndo alishiriki kikamirifu kumuondoa Zito pale CDM
Back
Top Bottom