Recent content by Twiza Mbarouk

  1. T

    CHADEMA kufa rasmi 2015 kabla ya uchaguzi mkuu

    LEMA: Kikao kilichomuweka naibu Meya madarakani hakikuwa halalli kwani hakikuwa na taarifa ya siku 7 kueleza kuwa kungekuwa na uchaguzi na hata mallah (Naibu Meya) hakuwa na barua ya utambulisho toka kwenye chama. CHANG'A:(Mkurugenzi wa jiji la Arusha) Uchaguzi ulifanyika kihalali na barua ya...
  2. T

    CHADEMA HAWAAMINIKI. Yes I said

    Kwa Imani yangu nilijua watu wanaochambua siasa hasa matukio yanaendelea kujitokeza kuhusu mambo yasiyofurahisha ndani ya CCM ni watu wanaopenda mstakabali wa nchi yetu uende vizuri kumbe ni ile ya kipendacho roho ula nyama mbichi ile dogo la umeya wa Arusha mnashindwa kulijadili kwa kina...
  3. T

    Mbowe asita kususia posho

    itakuwa ajabu sna kumshangaa kumshangaa Mbowe kusita kuchukua posho naamini anasimamia imani yake c km wakina Zitto wanasema hawataki ili hali roho zinawauma.
  4. T

    Nape, CCM Kujivua Gamba Haiwezekani ila Chama kufa inawezekana

    Sasa hali mbaya km kila kinachooandikwa ni nape, siasa ya nchi hii imekuwa ni Nape naaza kuingiwa na mashaka labda mti wenye matunda ndio upigwao mawe, tujalibu kujadili mustakabali wa nchi yetu kuliko kujadili jina la mtu tuambie km hp JF tunakampeni ya kumuandika nape au nikuchoka kufikili km...
  5. T

    Kadi feki za CHADEMA zachapishwa na CCM kuwapa raia wazirudishe ktk mikutano yao

    Ishakuwa kasumba kadi feki zimetengenezwa na CCM ata rushwa katika mikutano imetoka CCM huu sasa ni uvivu wa kufikiri na upofu wa mawazo ivi ni kweli kila jambo baya ya CDM linatoka CCM ila zuri ndio la CDM acheni zile za kipendacho roho naona sasa mnadiliki kura nyama mbichi na mnaona imeiva...
  6. T

    Dr. Slaa Kulipwa maslahi kama mbunge anastahili?

    Mi naamini lisemwalo lipo na anepaswa kutoa majibu hayo ni slaa mwenyewe km TRA hatuna imani nayo na tuache ushabiki bila kujali maslahi ya Taifa km Slaa halipi kodi basi ni MWIZI km wezi wengine Dagaa wanalipa kodi yeye Papa anakwepa kama unajua kudai haki jua kutimiza wajibu cc tujifundishe...
Back
Top Bottom