Nape, CCM Kujivua Gamba Haiwezekani ila Chama kufa inawezekana

Kwa mwendo huu hapa jamvini, naanza kuamini NAPE sasa amekua mwiba mkali sana kwa wana CDM. Inakuaje kila siku ni thread za NAPE this, NAPE that,... hivi ni kweli huyu kijana ameanza kuwanyima usingizi hata wapiganaji wa CDM?... Jamaa anachukua mileage sana hapa anavyokua discussed kila siku. Just remember there is NO BAD PUBLICITY, na mkumbuke jamaa ni PUBLICITY SECRETARY wa CCM,...C'mon, you can do better than this!
 
Sasa hali mbaya km kila kinachooandikwa ni
nape, siasa ya nchi hii imekuwa ni Nape naaza kuingiwa na mashaka labda mti wenye matunda ndio upigwao mawe, tujalibu kujadili mustakabali wa nchi yetu kuliko kujadili jina la mtu tuambie km hp JF tunakampeni ya kumuandika nape au nikuchoka kufikili km swala la chuo cha itikadi hata cc CDM ni moja ya mipango yetu au kwa CCM ndio tatizo, swala la kuchagua chombo cha Habari cha kutembelea hiyo ni maamuzi yake 7bu ana uhuru wa kwenda anapotaka na kuacha asipotaka.
 
Jamani ili niweze kuweka mawazo yangu juu ya nape, nisaidie cv yake ( na-doubt mno uwezo wake kusoma nyakati, ameenda shule kweli huyu ?
 
uhuru yanasomwa ktk ofisi za wilaya, mikoa na halmashauri tu, ambapo husambazwa na kulipwa juu kwa juu, isingekuwa hivyo leo yasingekuwepo maana mtu huwezi nunua eti ukasome upupu wa nape. ebooo!

Mkuu uko sahihi lakini wanaosoma Uhuru Mkoani pengine na Mkuu wa mkoa na RAS na kwa wilayani ni Mkuu wa Wilaya, nina shaka kama wakurugenzi wanasoma, labda mwingine anayesoma ni katibu wa ccm wilaya na mwenyekiti wake, wengine kabisaaaa ! hawalitaki hata kuliona
 
kuna wakati huwa najiuliza...ivi cdm bila kumjadili Nape hawajickii raha?kwanini Nape anaonekana kuwapasua sana vichwa?humu jf hakuna siku inapita bila kuwa na thread inayomtaja Nape...wakati mwingine hii inakuwa sawa na kumpiga chura teke...
 
Back
Top Bottom