Recent content by Twitter9

  1. Twitter9

    JamiiForums Tanzania Pongezi za dhati kwa ule Mtambo wa Kimawasiliano wa Kijasusi kutoka Israeli ambao sasa unafanya Kazi Kubwa Tanzania

    Acha masihara ndugu wale jamaa wa israeli waliofungua mpaka iphone ile waliyopewa na FBI au CIA kama sikosei ni noma
  2. Twitter9

    JamiiForums Tanzania Sauti inayodaiwa ni ya Mzee Makamba na Mwanaye January Makamba kuhusu Waraka

    Nakumbuka edward snowden alizinguana na mabosi zake kisa kuingilia faragha za watu ilihali wakijinasibu ni wana democrasia na wafuata katiba lakini waaapi bwana , kwa maslahi ya taifa usalama kwanza hayo ya faragha baadae , mungu ibariki Tanzania , mungu mbariki raisi magufuli , go magufuli go...
  3. Twitter9

    JamiiForums Tanzania UFAFANUZI: Usalama wa Taarifa binafsi za Watumiaji wa JamiiForums

    Na Nakuona kigogo
  4. Twitter9

    JamiiForums Tanzania UFAFANUZI: Usalama wa Taarifa binafsi za Watumiaji wa JamiiForums

    Huu ndo ukweli mchungu as long as upo kwenye sayari ya dunia hata ujifiche wapi utajulikana tu , kuna siku nilisoma article flan ya mambo ya mtandao na hii ilikuja baada ya melo kuhojiwa eatv akaelezea nami nikaenda kuchimba zaidi mh niliogopa
  5. Twitter9

    JamiiForums Tanzania UFAFANUZI: Usalama wa Taarifa binafsi za Watumiaji wa JamiiForums

    Na mimi twitter9 niko humu jf lakini twitter pia nipo kwa sababu yote ni mitandao ambayo watu wanapaza sauti kama ambavyo melo yuko jf na pia yuko twitter
  6. Twitter9

    JamiiForums Tanzania Hili la utekaji,CHADEMA watazamwe kwa jicho la tatu

    Sio Sio kwamba napiga chapuo ufutwe lahasha ila naona wamekuvumilia maana huwa zikiletwa nyuzi kama hizi zenye ukweli utashangaa zimeblockiwa hazifunguki
  7. Twitter9

    JamiiForums Tanzania Hili la utekaji,CHADEMA watazamwe kwa jicho la tatu

    Leo huu uzi wako mpaka muda huu hawaja ufuta au kuupiga stop hawa majamaa ajabu kweli ,kweli tanzania ya jamii forum ni chungu kukalika
  8. Twitter9

    JamiiForums Tanzania Kenya: Kijana mtanzania Rashid Mbereresero amehukumiwa kifungo cha maisha jela

    Je hujawahi kuona mkristo nae akihama anatengwa
  9. Twitter9

    JamiiForums Tanzania Nani kajibiwa na NIDA baada ya kutoa 100/=?

    Asante kwa kunifuta tongotongo
  10. Twitter9

    JamiiForums Tanzania Kuungana kwa Tigo & Zantel kutakavyoboresha uchumi na sekta ya mawasiliano nchini Tanzania

    Hili suala la zamani san sio leo , zantel ni kasehemu ka tigo na ndo maana huku bara kama unatumia zantel basi unafanya roaming kwa minara ya tigo
  11. Twitter9

    JamiiForums Tanzania Kenya: Kijana mtanzania Rashid Mbereresero amehukumiwa kifungo cha maisha jela

    Hahaha kama mtu katoa gold za kweli asi like jamani
  12. Twitter9

    JamiiForums Tanzania Nani kajibiwa na NIDA baada ya kutoa 100/=?

    Mi nilijaribu kwa namba ya tigo nikaambiwa taarifa zangu hazijapatikana
  13. Twitter9

    JamiiForums Tanzania Nani kajibiwa na NIDA baada ya kutoa 100/=?

    Mie washakula 200 yangu, jibu taarifa zako hazijapatikana hahaha
  14. Twitter9

    JamiiForums Tanzania Kenya: Kijana mtanzania Rashid Mbereresero amehukumiwa kifungo cha maisha jela

    Uislam haumlazimishi mtu kuamini ila mwislam anawajibika kumpa mtu ujumbe na kuachana naye ama aufanyie kazi ama lah
Back
Top Bottom