Pongezi za dhati kwa ule Mtambo wa Kimawasiliano wa Kijasusi kutoka Israeli ambao sasa unafanya Kazi Kubwa Tanzania

Yaani badala ya kuleta mtambo wa kufyatua vitambulisho vya utaifa wao walete mtambo wa kusikiliza jinsi watu wanavyotongozana
 
Hiyo kabla hata hao waisraeli hawajaletwa ilikuwepo sema tuu haikuwa inakaziwa sana kufuatiliwa
 
Hebu toa UPUUZI WAKO!

Nilikuwa siamini pale ambapo Mtu Mmoja aliponiambia kuwa niwe makini na Simu yangu hasa nikiwa naongea mambo Nyeti na hakuishia tu hapo akaniambia kuwa niamini nisiamini Simu karibia zote za Watu Maarufu nchini Tanzania wawe wa Kisiasa na Kijamii zinasikilizwa na Watu Maalum nchi hii na kwamba kuna Siku baadhi ya Watanzania watakuja Kuumbuka na hatimaye sasa wanaanza Kuumbuka na Kuumbuliwa.

Sasa naanza Kuona ule Ushirikiano wenu na Taifa la Watu Werevu pengine kuliko wengine hapa duniani la Israeli hadi miaka miwili iliyopita wakatupa Mtambo Maalum wa Kudukua Mawasiliano ya Watu bila Wao Kujijua kwa matumizi ya Kiusalama umeanza Kufanya Kazi na huenda Siku si nyingi Watanzania tukaja Kusikia Udukuzi wa Sauti zingine ambazo tunaweza tusiamini Macho au Masikio yetu kama Walengwa wangeweza kuzungumza / kusema waliyoyasema humo.

Kwa taarifa za chini chini kabisa ambazo bado naendelea Kuzithibitisha nimedokezewa ya kwamba baada ya Kusikia Udukuzi wa Sauti za waliotangulia basi tayari Mtambo huo huo wa Kimawasiliano wa Kijasusi kutoka nchini Israeli Watanzania sasa tujiandae kuanza Kuzisikia Sauti za Watu Wawili ambapo Mmoja alikuwa na Dhamana ya Kikatiba ya nchi hii pamoja na Mwanae ambaye kuna muda nae aliichafua nchi hii kwa aina ya Biashara yake Haramu aliyokuwa akiifanya akiwa anazungumza na Watu ambao wanatuhumiwa sasa katika Sauti zinazosikika.

Rai yangu Kwako / Kwenu kuweni makini na Simu zenu kwani Mtambo wa Kimawasiliano wa Kijasusi wa Kiyahudi ( Israeli ) hauna Masihara ambapo ukikuamulia Kukudukua Kuanzia Sauti yako na hata Meseji zako za Simu unaweza Kufanya hivyo muda na wakati wowote ule. Ndiyo sitaki na wala sipendi Siasa kwani nimegundua kuwa Siasa ni Mchezo wa Kutafutana ambao umejaa Unafiki, Chuki na Fitna nyingi mno.

Poleni sana kwa wale ambao yamewakuta.
 
Whatsap call si zipo,sidhani kama kuna mtu maarufu anaweza kufanya uzembe.

Ya Nape na Kinana bado natafakari kama ni halisi kweli maana Technologia imekua
 
Hakuna mtambo wowote zaidi ya kwenda kwa services provider wa mitandao ya simu kuomba mawasiliano kati ya namba moja na nyingine.
Nilikuwa siamini pale ambapo Mtu Mmoja aliponiambia kuwa niwe makini na Simu yangu hasa nikiwa naongea mambo Nyeti na hakuishia tu hapo akaniambia kuwa niamini nisiamini Simu karibia zote za Watu Maarufu nchini Tanzania wawe wa Kisiasa na Kijamii zinasikilizwa na Watu Maalum nchi hii na kwamba kuna Siku baadhi ya Watanzania watakuja Kuumbuka na hatimaye sasa wanaanza Kuumbuka na Kuumbuliwa.

Sasa naanza Kuona ule Ushirikiano wenu na Taifa la Watu Werevu pengine kuliko wengine hapa duniani la Israeli hadi miaka miwili iliyopita wakatupa Mtambo Maalum wa Kudukua Mawasiliano ya Watu bila Wao Kujijua kwa matumizi ya Kiusalama umeanza Kufanya Kazi na huenda Siku si nyingi Watanzania tukaja Kusikia Udukuzi wa Sauti zingine ambazo tunaweza tusiamini Macho au Masikio yetu kama Walengwa wangeweza kuzungumza / kusema waliyoyasema humo.

Kwa taarifa za chini chini kabisa ambazo bado naendelea Kuzithibitisha nimedokezewa ya kwamba baada ya Kusikia Udukuzi wa Sauti za waliotangulia basi tayari Mtambo huo huo wa Kimawasiliano wa Kijasusi kutoka nchini Israeli Watanzania sasa tujiandae kuanza Kuzisikia Sauti za Watu Wawili ambapo Mmoja alikuwa na Dhamana ya Kikatiba ya nchi hii pamoja na Mwanae ambaye kuna muda nae aliichafua nchi hii kwa aina ya Biashara yake Haramu aliyokuwa akiifanya akiwa anazungumza na Watu ambao wanatuhumiwa sasa katika Sauti zinazosikika.

Rai yangu Kwako / Kwenu kuweni makini na Simu zenu kwani Mtambo wa Kimawasiliano wa Kijasusi wa Kiyahudi ( Israeli ) hauna Masihara ambapo ukikuamulia Kukudukua Kuanzia Sauti yako na hata Meseji zako za Simu unaweza Kufanya hivyo muda na wakati wowote ule. Ndiyo sitaki na wala sipendi Siasa kwani nimegundua kuwa Siasa ni Mchezo wa Kutafutana ambao umejaa Unafiki, Chuki na Fitna nyingi mno.

Poleni sana kwa wale ambao yamewakuta.
 
Kumnyanganya mtu tonge mdomoni sio kazi Nyepesi.

Wanaoyatoa Leo kwa wenzao kesho yatatolewa yakwao ambayo ni mabaya zaidi.
Yote yanafanywa kwa sababu ya kutafuta na kulinda ugali.
Mtu anayefanya jambo kwa kulenga maslahi yake siku zote anaweka mbele maslahi na atakua tayari kutumika kimaslahi.
 
Mbona umeshindwa kudukua waliompiga risasi tundu lissu na wengine waliopotea????? Sifa nyingine mnazojipa ni za kisengerema na hazina tija kabisa, watanzania wako hoi na ugumu wa maisha nyie mnasujudu wanasiasa.

Mbona hazikudukua matusi chungu mzima wanayotukanwa na Jiwe mpaka aseme mwenyewe anawatukana sana tu.

Back
Top Bottom