Recent content by TWisheshagi

  1. T

    Hotuba ya Mbowe, ni dawa ya kutibu misuli ya moyo

    NIMERUDIA kuisikiliza Hotuba ya Mheshimiwa Freeman Mbowe, Mara kadhaa. Hii ni hotuba inaweza kudumu kwa muda mrefu sana kama rejea sahihi ya maamuzi sahihi yaliyowahi kufanywa na CHADEMA, tangu mfumo huu wa vyama vingi uanze. Hotuba ya Mbowe, ni dawa ya kutibu misuli ya moyo katika siasa...
  2. T

    GE2020 EXCLUSIVE: Maswali kwa Mgombea Urais wa JMT, Tundu Lissu kutoka kwa Watanzania watumiao mitandao ya kijamii

    Mheshimiwa, HONGERA kwa kampeni. Swali: Kwakuwa katiba yetu haitoi fursa ya moja kwa moja katika kukabidhi madaraka kwa Chama kingine tofauti na CCM! UPI MTIZAMO WAKO JUU YA MGOGORO WA KIKATIBA UNAOWEZA KUJITOKEZA ENDAPO UTACHAGULIWA KUWA RAIS WA NCHI YETU?
  3. T

    GE2020 JPM kwenye mabango, Tundu Lissu kwenye mioyo ya watu

    MAKALA hii nimeanza kuandika jana, nikiwa kwenye jukwaa la CCM, mjini Musoma. Mengi nimeyashuhudia kwa macho yangu, lakini kwa nafasi yangu hususan kwenye timu ya kampeni ya mgombea wetu nitajadili machache: Nimeshuhudia baadhi ya watu muhimu kwenye timu yetu wakifuatilia hotuba za Lissu kwa...
  4. T

    GE2020 Tundu Lissu wasamehe maadui zako lakini usisahau majina yao!

    Jina la Tundu Lissu, ndio linalotajwa sana kwa Sasa kuliko Mtazania yeyote hususan kwenye mitandao ya kijamii. Jina hili linatajwa kwa ubaya na uzuri. Kwa kipindi cha takribani siku mbili mfululizo, Jina la Lisu limeingia kwenye orodha ya majina yanayofuatiliwa sana na watu wengi. Katika...
  5. T

    Uchaguzi 2020: Mafuriko ya Tundu Lisu, anaweza kubadili kanuni za uuwindaji!

    MAFURIKO ya Tundu Lisu, yaweza kubadili kanuni za uuwindaji. Yaani, Mbuni kuanzia kumuwinda Tembo. Au sungura kuanzia kumwinda mbwa! Katika siasa Hakuna jambo linaloweza kutokea kwa bahati mbaya. Matukio yote hupangwa kwa njia za haki au hila! Hupangwa mchana au usiku! Sirini au kwenye Meza...
  6. T

    GE2020 Tundu Lissu ana marafiki wa kificho, Rais Magufuli ana maadui wa kificho

    UCHAGUZI wa mwaka huu unatakuwa ngumu na wenye mvuto mkali. Hii ni sawa na pambano lililosubiriwa kwa muda mrefu. Mapambano kama haya yakitokea hulazimisha shughuli zingine zisimame ili kupisha mpambano mkali na wenye mvuto. Hivi ndiyo ninavyoona uchaguzi wa mwaka huu. Siyo uchaguzi wa CCM VS...
  7. T

    GE2020 Makosa ya wakubwa yanavyomnufaisha Tundu Lissu

    TUNDU LISSU, huenda akawa ni miongoni mwa wanasiasa wenye bahati kubwa! Ni mwanasiasa, anayenufaika sana na makosa ya wakubwa! Makosa ya wakubwa kwa kujua au kutokujua, kwa kushauriwa au kutokushauriwa vizuri yameanza kumjenga Tundu Lissu. Awamu hii ya tano, imejenga marafiki wengi wa kificho...
  8. T

    Hussein Mwinyi atashinda uchaguzi, Maalim Seif atashinda kura

    Chama cha Mapinduzi (CCM) kimehitimisha mchakato wa kupata mgombea wake wa urais kwa upande wa Zanzibar. Ni Hussen Ali Hassan Mwinyi. Mwanasiasa mtulivu, mkimya na asiyependa kujikweza. Zipo tetesi kuwa ukimya wa Hussein Mwinyi, unavuka mipaka ya kawaida. Hata kwenye vikao vya Baraza la...
  9. T

    GE2020 Gululi Kashinde atia nia kulitaka jimbo la Magu mjini, mkoani MWanza

    Hapana. Yule fundi anaitwa Gololi. Huyu ni Gululi. Baba yake ni mzee mmoja Mstaafu, anaishi mtaa wa national kama sikosei.
  10. T

    GE2020 Gululi Kashinde atia nia kulitaka jimbo la Magu mjini, mkoani MWanza

    Siyo DOTTO. Yeye anaishi Dar, kwa Sasa alikuwa UDSM 2010.
  11. T

    GE2020 Gululi Kashinde atia nia kulitaka jimbo la Magu mjini, mkoani MWanza

    KIJANA huyu kwa Mara ya mwisho nilikuwa naye pale UDSM. Kipindi hicho wote tulikuwa wanafunzi. Mimi nikiwa engineering, yeye akiwa social sciences. Kipindi fulani alikuwa anafanyia uchambuzi kwenye magazeti ya MwanaHalisi na Raia mwema. Huyu KIJANA ndiye alikuwa "Master mind" wa siasa za chuo...
  12. T

    Udhaifu wa Chadema sio Uimara wa CCM!

    Nimeona mjadala mkali na wa kuvutia ukiendelea kuhusu uhai wa vyama vya upinzani hususan Chadema kuelekea 2020. Nikiri mapema kuwa, hatuna vyama vya siasa Bali tuna vikundi vinavyopambana na dola. Hata CCM yenyewe ilikwisha acha siku nyingi kuwa Chama cha siasa badala yake uhai wake unategemea...
  13. T

    Tofauti kati ya Rais Magufuli na Rais Mstaafu Kikwete

    Tofauti kubwa Kati ya Rais Mstaafu Kikwete na Rais Magufuli ni kwamba JK alikuwa akisema hatendi, na akitenda hasemi! JPM yeye anasema kila kitu, na anatenda kila kitu! Ukifuatilia hotuba za Mkuu, mambo mawili unabaini: Mosi, unatamani uingilie Kati hotuba yake ili umuokoe au usahihishe...
Back
Top Bottom