Recent content by Twinkles

  1. T

    JamiiForums Tanzania Hawa si matapeli hawa

    kweli kabisa tucheke lakin vyombo vinavyosimamia hii vifuatilie jamen manaake atakuja kutolewa mtu figo bure kwa issue za kutafuta kazi.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Regina Lowassa ni mwanamama wa mfano, mke bora

    bora umeliona hilo, ni ajabu kabisa...binafsi najua jina lake tu. anyway huu ni mwaka wa maajabu
  3. T

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    ...by mwanaume you mean JAMBAZI SUGU :smokin:
  4. T

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba na Dr. Slaa, Nini kimejificha nyuma ya hiyo misimamo yenu?

    Teh teh...sasa mafuriko yaizoa ukawa na kuisunamisha..
  5. T

    JamiiForums Tanzania Alinialika tuishi wote nimsitiri, sasa anadai nichangie kodi ya nyumba

    wow...kwahiyo unataka huyo dada akuhudumie kila kitu bure? huoni aibu, ni mamako uyo? you should better yourself!
Back
Top Bottom