Recent content by twijuke

  1. T

    JamiiForums Tanzania Nina kampuni ya Clearing and Forwarding nahitaji mdau wa kufanya naye kazi

    Hapana ndg, kinacho hitajika hapa ni mbia wa kufanya kazi pamoja.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Nina kampuni ya Clearing and Forwarding nahitaji mdau wa kufanya naye kazi

    Ndg uliyeweza kufanya upendo wa kufanya marekebisho kwenye kichwa cha habari nakushukuru sana. Nimebeba dhamana kama mwenyeji kwenye tangazo hili, mwenye kampuni ni ndg yangu, document zote ziko sawa, kampuni si ya mkononi, ina ofisi tena kwenye jengo linalojulikana. Namba hii 0754750006...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Nina kampuni ya Clearing and Forwarding nahitaji mdau wa kufanya naye kazi

    Samahani ndg zangu nimeshindwa kupata access ya kufanya masahihisho kwenye kichwa cha habari. [QUOTE="Echisute,
  4. T

    JamiiForums Tanzania Nina kampuni ya Clearing and Forwarding nahitaji mdau wa kufanya naye kazi

    Kama ambavyo nimeandika hapo juu, nilipata Neema ya kufungua kampuni ambayo imepata usajili mwaka huu, ina vibali vyote. Nahitaji mtu aliye tayali ili kufanya kazi pamoja. Kampuni ni mpya na ina ofisi kati ya majengo makubwa mjini kati Dar es salaam. Taarifa nyingine zaidi kwa aliye tayali...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Zitto: Thamani ya Tshs dhidi ya Dola inazidi kuserereka. Leo $1=Tshs 2235 Nini Kinaendelea?

    Naringina namona nabiso.
  6. T

    JamiiForums Tanzania Nakshi nyumba yako kwa finishing na Crystone paint

    Tunakaribia.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Kutokuwepo magari ya UDA barabarani Dar nini tatizo?

    Leo karibu jiji zima la Dar hakuna magari ya Uda karibu njia zote ambazo zimekuwa zikitumiwa na magari hayo. Tetesi zilizopo ni kwamba, mmiliki amepewa muda ajitokeze. Kwa anaye jua taarifa juu ya hili atujuze. Magari haya yamekuwa msaada hususani kivukoni na mnazi mmoja ambako magari...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Nakshi nyumba yako kwa finishing na Crystone paint

    Karibuni wadau.
  9. T

    JamiiForums Tanzania Nakshi nyumba yako kwa finishing na Crystone paint

    Karibuni wadau tuwapambe.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Ikiwa ukali wa Mbwa unatokana na mwenye Mbwa, basi Hosea kaonewa

    Kuna msemo usemao, ukali wa Mbwa unatokana na mwenye Mbwa. Ikiwa ndivyo nathubutu kusema Hosea kaonewa.
  11. T

    JamiiForums Tanzania Siku ya UHURU wa Tanzania bara (9/12): Yaliyojiri maeneo mbalimbali kuhusu kufanya usafi

    Nimeshuka hivi punde uwanja wa Mwalimu Nyerere Dar es salaam. Nashangaa kila ninakopita naona hekaheka za usafi, nikamuuliza mwenzangu aliyekuja kunipokea, je! Obama anakuja tena? Nakumbuka Obama ni rais pekee aliyepewa heshima ya kusafishiwa mazingira. Akasema hapana hili ni agizo la rais...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Nakshi nyumba yako kwa finishing na Crystone paint

    Karibuni wadau.
  13. T

    JamiiForums Tanzania Kasi ya Magufuli: Hospitali kuu Ya Taifa yapata mashine mpya ya kisasa ya X-Ray ya kisasa

    Kuiba Maji ya kwenda kuzima moto unaotaka kuteketeza Nyumba ya jirani ni kosa?
  14. T

    JamiiForums Tanzania Je! ni kweli kwa matumizi ya fedha budget ya Shetani ni kubwa kuliko ya Mungu?

    Ndg zangu kwa wale tunao amini katika Mungu, kutokana na kautafiti niliko fanya nimebaini katika matumizi ya fedha fungu linalotumika kwa njia za shetani ni kubwa kuliko fungu linalotumika kwa njia za Mungu. Ebu tutafakari hili. Je! ni kweli kautafiti haka?
  15. T

    JamiiForums Tanzania Utabiri: UKAWA Kuibuka washindi dhidi ya CCM. Kikwete kusalimu Amri kwa Lowassa

    Hakika neno hili litatimia.
Back
Top Bottom