Recent content by tweve

  1. T

    JamiiForums Tanzania Je, Magufuli atakuwa mgombea wa kwanza kutoka CCM kupoteza uchaguzi?

    Teh teh teh atalia kama pinda
  2. T

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri bungeni Dodoma leo 08 Julai 2015

    Hujui kuwa yupo Ccm kitambo sass!!!
  3. T

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Prof Mwandosya kwa Zitto

    Msumari WA Moto kwa --------- WA act mwandiga
  4. T

    JamiiForums Tanzania Maswali yangu yaivuruga ACT-Wazalendo

    Maswali magumu mno hayo na hayajibiki. mtamuua ---------
  5. T

    JamiiForums Tanzania Zitto aitesa CHADEMA Kagera, Mwenyekiti wa Wilaya ya Biharamulo arudisha kadi

    Aliyemaliza muda wake au aliyeshindwa kwenye uchaguzi ?
  6. T

    JamiiForums Tanzania Wanachama wa CHADEMA Mbozi wajiunga ACT -Wazalendo

    Nyanda za juu kusini hicho kikundi cha waha Ni dhaifu Sana,hakiwezi kupata hata diwani mmoja Kanda nzima
  7. T

    JamiiForums Tanzania Vijana NCCR - Mageuzi, hatushiriki UKAWA bila kuondosha haya

    huyu dogo ni zero kabisa
  8. T

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Serikali dhidi ya Mfanyabiashara wa Njombe imetupwa

    Kesi ya serikali dhidi ya mfanyabiashara wa njombe mjini Meckson sanga imetupiliwa mbali na mahakama ya wilaya ya njombe baada ya kukosekana ushahidi .sasa hivi tupo ukumbi wa turbo njombe mjini kwa majadiliano ya kuchukua baada ya maamuzi haya ya mahakama.haki siku zote huchelewa Tu lkn lazima...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Moto wa ACT-Wazalendo kama umepungua vile

    Huku njombe ,siku alipomaliza ziara na kuondoka ndiyo simu hiyo hiyo chama kilikufa hapo hapo .
  10. T

    JamiiForums Tanzania ZITTO: Nilipofukuzwa nilitamani kujiunga NCCR Mageuzi

    mpo nyuma yake na nani ?halafu huko nyuma yake mnafanya nini ?
  11. T

    JamiiForums Tanzania Agustino Mrema atimuliwa TLP

    Hivi mrema bado yupo kwenye siasa????
  12. T

    JamiiForums Tanzania ACT-Wazalendo yashusha bendera za CHADEMA Kigoma,wakomba 3500 kutoka CHADEMA,CUF na NCCR Mageuzi

    Hiki kikundi cha Sanaa cha ccm hakifiki popote,maana huku walikofanya ziara hata harufu ya actccm hakuna kabisa,hivi bila zzk hamuwezi kuendesha kikundi chenu? Sasa October mtamgaweje huyo zzk ili mpate hao wabunge 50? Endeleeni na maigizo yenu
  13. T

    JamiiForums Tanzania ACT - Tanzania inapambana na vyama vyote Tanzania

    Mwenyekiti wa act mkoa wa njombe ametuaacha vinywa wazi na kutanua mbavu zetu baada ya kusema act iko kwa ajili ya wanaccm waadilifu lkn pia kwa kuwa cdm inachukua nch basi act ndio chama cha upinzani ,mwenyekiti huyo anaitwa Mathias mwajombe ambaye kabla ya kuhamia act,amewahi PIA kuwa...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Mwanamama wa Shoka: Anna Mughwira - Mwenyekiti ACT Wazalendo

    Hivi mbona wafuasi WA --------- wamekuwa wapole ghafla baada ya ziara ya kuuza sura ya actccm kusimama?
  15. T

    JamiiForums Tanzania NCCR-Mageuzi yadaiwa kuwasilisha hoja ya kujitoa UKAWA; CUF watoa masharti magumu!

    Ukawa ni Imara kupita kiasi mlichokizoea
Back
Top Bottom