Kesi ya Serikali dhidi ya Mfanyabiashara wa Njombe imetupwa

tweve

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
694
Reaction score
146
Kesi ya serikali dhidi ya mfanyabiashara wa njombe mjini Meckson sanga imetupiliwa mbali na mahakama ya wilaya ya njombe baada ya kukosekana ushahidi .sasa hivi tupo ukumbi wa turbo njombe mjini kwa majadiliano ya kuchukua baada ya maamuzi haya ya mahakama.haki siku zote huchelewa Tu lkn lazima ipatikane.kwa umoja huu ulioonyeshwa na wafanyabiashara wa mkoa wa njombe kwenye kesi hii hakika umoja ni nguvu
 
imetupwa wapi tukaiokote???
 
Back
Top Bottom