Recent content by twanga twanga

  1. T

    JamiiForums Tanzania Askofu Pengo: Nasumbuliwa na uti wa mgongo, Watanzania Chagueni Rais fukara

    Pengo kwa dhahiri anaonyesha anatushawishi kuwa mtoto wa masikini atakuwa ni mizengo kayanza Peter pinda, mzee hutufai mzee unaendelea kumnadi mtoto wa kitajiri kuwa ni wa kimaskini
  2. T

    JamiiForums Tanzania Magazeti ya Tanzania na ukweli wa habari

    Tatizo mtu akiongea habari unakuta imebadilishwa na maneno ya aliyeongea yamegeuka
  3. T

    JamiiForums Tanzania Magazeti ya Tanzania na ukweli wa habari

    Aisee hawaeleweki tatizo nadhani fani ya uandishi wa habari imevamiwa wasio husika
  4. T

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya Askofu Gwajima imezungukwa na Polisi sasa hivi

    Watu tushatukaniwa mama zetu polisi hawajakamata mtu hao jamaa polisi pumbavu
  5. T

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya Askofu Gwajima imezungukwa na Polisi sasa hivi

    Polis wanafikiri kwa kutumia makalio, namnukuuu Dr didas masaburi
  6. T

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya Askofu Gwajima imezungukwa na Polisi sasa hivi

    Shida ni PichA imepigwa ndani au nje,.mbona mnakuwa mapumbu kwa polisi walivyo mapumbu mtu mmoja tena mchungaji mnamfuata na defender 8 kweli polisi ni pumbu moja
  7. T

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya Askofu Gwajima imezungukwa na Polisi sasa hivi

    Polisi ni nani aliyewaroga fanyeni kazi yenu kama mnaojitambua acheni kufanya kazi bila utaratibu
  8. T

    JamiiForums Tanzania Peter Kibatala: Awashika pabaya polisi sakata la Gwajima

    Uko wapi wewe fandre nikupe novida
  9. T

    JamiiForums Tanzania Peter Kibatala: Awashika pabaya polisi sakata la Gwajima

    Hapo umenena maana mwisho Wa ubaya ni aibu
  10. T

    JamiiForums Tanzania Serikali kuzifuta taasisi za kidini zinazojihusisha na Katiba, Uchaguzi mkuu

    Serikali hii kwa kweli inatia aibu sana haiwezekani waziri mwenye dhamana anashindwa kusimamia utawala wa kisheria anataka kupindisha mradi awafurahishe mabwana zake tulikuwa tunakuheshimu sasa hatutakuheshimu tena maana ukikomalia utajivunjia heshima mzee
  11. T

    JamiiForums Tanzania Imegundulika kwenye sakata la Askofu Gwajima!

    Kova na wenzake wamekosa PA kushika wanaanza kujishika makalio yao wanadai vitu ambavyo kimsingi hawaeleweki sijui wanatafuta namna ya kujiondoa kiutuzima ili wasionekane hamnazo
  12. T

    JamiiForums Tanzania Kova: Ole wenu wafuasi wa Gwajima

    Mbona walienda halafu kimya kova mkwara
  13. T

    JamiiForums Tanzania Hivi ni Kweli kanisa la Gwajima ndo lenye waumini wengi Tanganyika?

    Kigano wewe hauelewi mada
  14. T

    JamiiForums Tanzania Hivi ni Kweli kanisa la Gwajima ndo lenye waumini wengi Tanganyika?

    Hakuna ubishi kanisa LA ufufuo na uzima ndilo mega church Pekee inayochukua watu zaidi ya elf 70kwa ibada moja mnabisha nn enyi wafilisti
Back
Top Bottom