Recent content by Twamo

  1. Twamo

    Tetesi: Hiki kinachofanyika hapa kwenye ligi kuu ya bongo ni dhahiri Yanga atakua bingwa kila msimu!

    Katika timu 8 zilizoingia robo fainali ya klabu bingwa Afrika, 2 zimetoka Tanzania! Msimu uliopita Yanga imeingia fainali ya kombe la shirikisho! Huku nako kunafanyika mipango? Kuweni ' siriaz' basi!
  2. Twamo

    Tetesi: Hiki kinachofanyika hapa kwenye ligi kuu ya bongo ni dhahiri Yanga atakua bingwa kila msimu!

    Simba hadi sasa anaongoza kuipa Yanga ushindi mkubwa! Sioni msingi wa hoja yako zaidi ni kutapatapa na bado mtazidi kuchapika!
  3. Twamo

    NEC yabadilishwa jina sasa kuitwa Tume Huru ya Uchaguzi

    Bado haina sifa za kuwa tume huru, labda kama ni jina tu!
  4. Twamo

    Ni Yanga pekee ndio nimeona inasafiri na wachezaji majeruhi

    Mzee katika hili unaumizwa na kipi??
  5. Twamo

    Kwa takwinu hizi, Yanga kutolewa ni haki, ingeitoa Mamelodi ndio isingekuwa haki, Mamelodi alikuwa timu bora

    Uliiona mechi ya juzi kati ya Man City na Arsenal?? Kila mechi inampango wake kulingana na mpinzani wako na wachezaji ulionao! Aliyepigwa thalatha bin sufuri naona ndiye katolewa ki kike!
  6. Twamo

    Kwa takwinu hizi, Yanga kutolewa ni haki, ingeitoa Mamelodi ndio isingekuwa haki, Mamelodi alikuwa timu bora

    Kocha wa Mamelod amekubali kuwa alikamatwa na Yanga, wewe kocha wa Jamiiforums unakoja na porojo huku! Nyie takwimu za mchezo wenu vs Ahyl zimewafikisha wapi??
  7. Twamo

    Goli la Yanga dhidi ya Mamelodi mzozo ni mkubwa South Africa kuliko Tanzania, CAF inapoteza credibility

    Na nyie msiache kumkumbuka Tatu Malogo kwenye ufalme wenu! Uzuri hawa Mamelod mliwapa sifa zote walipopangwa na Yanga! Leo wanasonga mbele kwa mauza uza!!!!
  8. Twamo

    Amos Makalla Mwenezi mpya CCM Taifa, Ally Hapi Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi

    Chama kinazidi kurudi kwa wenyewe!
  9. Twamo

    Inonga amechomesha tukafungwa goli na Al Ahly

    Mechi vs Prisons alijiangusha Kopro Mbangula akafunga, jana anaokoa kibishoo mwarabu anafunga kilaini! Huyo ndio Inonga
  10. Twamo

    Nawakumbusho: MAGUFULI DAY ni kesho

    Apumzike kwa amani, sijui hali ingekuwaje kama angekuwa hai mpaka sasa
  11. Twamo

    Aishi Manula, mwanzo wa mwisho wa ufalme?

    TP Mazembe 4 Kolo 0
  12. Twamo

    Klabu ya Azam FC imethibitisha kupokea barua kutoka kwa mshambuliaji Prince Dube akiomba kuvunja mkataba

    Na wao waone ugumu wa haya mambo! Kipindi kile kwa Fei walijiona miamba sana.
  13. Twamo

    Historia ya mlungula inawabeba Yanga

    Simba ipi? Hii ya Fred na Babakar?? Haya bhana
Back
Top Bottom