Ni Yanga pekee ndio nimeona inasafiri na wachezaji majeruhi

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Mar 11, 2020
2,712
6,519
Timu nyingi hata Simba sidhani kama wamesafari na wachezaji majeruhi kama kipa wao Manula. Ila jiulize Yanga, mtu kama Yaoyao wanasafiri naye ili iweje? Kufanya nini?

Kuna shida pale Yanga, mtu kama Yao yao hata kwenye mazoezi hafanyi ila alienda South Africa, Pacome na Aucho pia Wangebaki Dar es Salaam tu.

Yanga waache showoff za kijinga,
 
a3b277204f6e40df8cdd363b3fa2f0cc.jpg
 
Timu nyingi hata Simba sidhani kama wamesafari na wachezaji majeruhi kama kipa wao Manula. Ila jiulize Yanga, mtu kama Yaoyao wanasafiri naye ili iweje? kufanya nini?

Kuna shida pale Yanga, mtu kama Yao yao hata kwenye mazoezi hafanyi ila alienda South Africa, Pacome na Aucho pia Wangebaki Dar es salaam tu.

Yanga waache showoff za kijinga,
Mpumbavu wewe funga bakuli lako.

Aucho alikwenda na timu kwenye fainali Algeria akiwa na Kadi na hatocheza lakini kuwapa hamasa wenzake.
 
Timu nyingi hata Simba sidhani kama wamesafari na wachezaji majeruhi kama kipa wao Manula. Ila jiulize Yanga, mtu kama Yaoyao wanasafiri naye ili iweje? kufanya nini?

Kuna shida pale Yanga, mtu kama Yao yao hata kwenye mazoezi hafanyi ila alienda South Africa, Pacome na Aucho pia Wangebaki Dar es salaam tu.

Yanga waache showoff za kijinga,
Akili zingine bana yaani unatupangia
 
😅😅😅😅 wakuomba nauli zao?, kila timu na utaratibu wake.
 
Timu nyingi hata Simba sidhani kama wamesafari na wachezaji majeruhi kama kipa wao Manula. Ila jiulize Yanga, mtu kama Yaoyao wanasafiri naye ili iweje? kufanya nini?

Kuna shida pale Yanga, mtu kama Yao yao hata kwenye mazoezi hafanyi ila alienda South Africa, Pacome na Aucho pia Wangebaki Dar es salaam tu.

Yanga waache showoff za kijinga,

Anzisha na wewe team yako.
 
Najiuliza sana ni mtoa mada anamaanisha lakini sipati jibu, anyway Wacha waende nao sion shida hapo.
 
Timu nyingi hata Simba sidhani kama wamesafari na wachezaji majeruhi kama kipa wao Manula. Ila jiulize Yanga, mtu kama Yaoyao wanasafiri naye ili iweje? Kufanya nini?

Kuna shida pale Yanga, mtu kama Yao yao hata kwenye mazoezi hafanyi ila alienda South Africa, Pacome na Aucho pia Wangebaki Dar es Salaam tu.

Yanga waache showoff za kijinga,
mzee umewalipia wew gharama mbon nongwa hivyo!!!
 
Timu nyingi hata Simba sidhani kama wamesafari na wachezaji majeruhi kama kipa wao Manula. Ila jiulize Yanga, mtu kama Yaoyao wanasafiri naye ili iweje? Kufanya nini?

Kuna shida pale Yanga, mtu kama Yao yao hata kwenye mazoezi hafanyi ila alienda South Africa, Pacome na Aucho pia Wangebaki Dar es Salaam tu.

Yanga waache showoff za kijinga,
Mzee katika hili unaumizwa na kipi??
 
Back
Top Bottom