Recent content by Twalo frank

  1. T

    JamiiForums Tanzania Machangudoa wengi wanakaa wapi?

    Nilijua unawahitaji labda maana mpaka kuwaulizia imeonyesha una shida nao tehe tehe.
  2. T

    JamiiForums Tanzania RFA Songea mmehamia Digitali?

    Ni kwel kuna kamgomo baridi nahisi mambo hayohayo ya mshiko kwamba mkurugenzi wao anawazingua.
  3. T

    JamiiForums Tanzania TBC na habari za kimataifa

    Kwel kabisa bora star tv ila mm naona tbc kama inanizingua zaid hadi nimeacha hata kuangalia habar zao. Na habar wanajitahid kuzisoma vizur ni zamagamba.
  4. T

    JamiiForums Tanzania Tray 25 za mayai zimemfikisha hapa mtoto huyu!!!

    Huyo baba kwann asiende kunyea debe kwanza maana nilivyosikia hasira trei za mayai ndio kutaka kutoa roho ya mtoto hv.
  5. T

    JamiiForums Tanzania USWAZI: Kutana na jamaa anayesaga na kula chupa, makopo ya redbull na visoda.

    Kweli dunia ina mambo hadi kula magodoro
  6. T

    JamiiForums Tanzania Precision bure kabisa, Fast Jet ongezeni ndege Jamani,

    Duh pole sana rafiki maana ninavyokuonea huruma. Waswahili sana hao jamaa.
  7. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kabla sijamaliza Wamekata!

    Kwel hiyo sikuigundua asante kwa kunishtua kumbe wamagamba ndio walivyofanya
  8. T

    JamiiForums Tanzania Siri ya Coca-Cola yafichuka

    asante kwa hilo ila kwann uandike kichwa cha habar kwa lugha nyingine mada utoe kwa lugha nyingine mkuu?
  9. T

    JamiiForums Tanzania Pinda alifaa kuwa Waziri wa Mashambani na Si Waziri Mkuu

    Mimi ndio naona kichefuchefu kabisa nashindwa hata kuongea sana.
  10. T

    JamiiForums Tanzania ITV napendekeza iwe TV ya taifa

    Hata mimi naona Itv haina kificho kwa habari zake kama Tbc inaonekana kama ya chama fulani.
  11. T

    JamiiForums Tanzania Watanzania chonde chonde tusifike hapa!!!!!

    Hapo umenena maana yote yanayotendeka viongozi wetu wanajifanya kama hawayaoni hata nashindwa kuwashangaa nini maana ya kuwa na viongozi? Udini tanzania hii na ukabila ndio vimepamba moto. Baba wa taifa aliyajua hayo ndio maana alijazia sana kuhusu hayo.
  12. T

    JamiiForums Tanzania Hiki kipindi cha Ndodi

    Hiyo nahisi haikuwa live
  13. T

    JamiiForums Tanzania MBEYA mjini wana matatizo gani

    Hapo umenena kwa sababu wa makambako ni mwanamagamba ndio maana hajamsema kamwona mwanamagwanda tu mkuu.
  14. T

    JamiiForums Tanzania Sabena Bus,yaua!

    Kweli uzembe wa madereva wetu utatumaliza. Ajal ya kizembe kabisa hiyo. Sijui tusafiri na nn?
  15. T

    JamiiForums Tanzania Waziri Wassira agonga mwamba sakata la uchinjaji nyama Mwanza!

    Kuna tatizo kwani waislam pekeyao ndio binadamu wakristo sio watu?
Back
Top Bottom