Precision bure kabisa, Fast Jet ongezeni ndege Jamani,

Precision bure kabisa, Fast Jet ongezeni ndege Jamani,

Yaani kutoka Zanzibar, sijui kama ni kawaida tuliambiwa safari ya Dakika 20 naona Jamaa ndege kama aliipeleka Mombasa halafu tukaja tunaambaa ambaa, maana ilikuwa kila nikiona mji Najua tumefika, wapi bwana nimeona Miji kama mitatu au tulikuwa tunazungushwa tunatoka halafu tunarudi. Kwa kifupi Pecision sina hamu nao.

Haki unavituko.....lol..hah hah hah!
 
Back
Top Bottom