Recent content by Twalb zubeir

  1. T

    JamiiForums Tanzania Chihendo na MweneMwana 23/07/016 Kwaheri Baba Wa Siasa Afrika JK

  2. T

    JamiiForums Tanzania RPC Dodoma: Viongozi wa BAVICHA kufikishwa Mahakamani Jumatatu kwa kumkashifu Rais

    Nashindwa kuelewa vijana Wa chadema mnatumia nini kufikiri hv mbona mnatumika vibaya saana vijana nyie mtapata ulemavu bure
  3. T

    JamiiForums Tanzania Mishahara ya watumishi wa Umma kwa mwezi Machi

    Magufuli msikivu baba
  4. T

    JamiiForums Tanzania Mishahara ya watumishi wa Umma kwa mwezi Machi

    Nashukuru Mh Rais kamshahara kametoka
  5. T

    JamiiForums Tanzania Mishahara ya watumishi wa Umma kwa mwezi Machi

    Aiseee
  6. T

    JamiiForums Tanzania Mishahara ya watumishi wa Umma kwa mwezi Machi

    Hali mbaya baba maana kesho ijumaa kuu hatujui hata sadaka tutatoa nini baba magufuli ongea na hazina watupe Advance ya ka mshahara huku tukisubiri uhakiki maana tunatembelea choki baba tusaidie hawa watumishi hewa wametuponza wenzao watoto wanadai nguo za sikuu na pale dukani ninapokopaga Leo...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif akikubali Umakamu wa Rais atakuwa ametusaliti

    Makamo wa Kwanza wa Rais na Makamo wa Pili wa Rais 39.(1) Kutakuwa na Makamo Wawili wa Rais ambao watajuilikana kama Makamo wa Kwanza wa Rais na Makamo wa Pili wa Rais. (2) Ndani ya siku saba mara baada ya kushika madaraka, Rais atateua Makamo wa Kwanza wa Rais na Makamo wa Pili wa Rais. (3)...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Dkt. Dau afitinishwa na JPM

    Mtukane aliyeandika sio kuitukana Dini hapo kututafuta ubaya
  9. T

    JamiiForums Tanzania Miongoni mwa majibu yanayotakiwa kuangaliwa ni Halmashauri ya Mji Kahama

    Lembeli amepigwa robo tatu ya vituo hivyo kushinda kesi ni kwake
  10. T

    JamiiForums Tanzania Miongoni mwa majibu yanayotakiwa kuangaliwa ni Halmashauri ya Mji Kahama

    Katika Hali ya masikitiko kabisa nianze kwa kusema "Simbachawene hebu itumbue hii Halmashauri " Haiwezekani mtumishi utimize wajibu ila hupewi haki yaani maafisa wamekuwa miungu watu kabisa mtu umeanza Kazi 2010 lakini hadi Leo kupandishwa daraja tu ni mtihani then ukifuatilia ofisi ya utumishi...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Dk. Masaburi ameonesha ukomavu wa kisiasa

    Team nyuki via masaburi hawezi hii nchi ngumu
  12. T

    JamiiForums Tanzania CCM Tusifanye Makosa Tunatakiwa kuwa na Naibu Spika Msomi Hakuna Namna!

    Hii nchi inavilaza wengi saana daaah natamani kuhama aiseee uccm umetujaa Na sio utaifa
  13. T

    JamiiForums Tanzania Magufuli apiga STOP Safari za nje ya Nchi; Elimu Bure kuanza Januari 2016...

    Hizi movie jk alianza nazo kwa kasi Na kusema atawataja wauza unga huwez amini ameondoka Na majina yake ya wauza unga ndio fisiem system
  14. T

    JamiiForums Tanzania Mgombea udiwani wa CCM ampigia kampeni Lowassa

    Sio uongo hadi mkuchika anasema magufuli atajaza yeye Na jk
Back
Top Bottom