Naomba kufahamu usawa uliopo Kati ya postgraduate na degree yaani Kama kunakazi unahitaji kigezo Cha degree alafu Mimi nina postgraduate je naweza kuomba?
Naomba kujua Kama nimesoma bachelor ya procurement nataka nisome PGD ya B.ADM. Je napokua na vyeti hivi viwili naweza kutumia hicho Cheri Cha PDG kucompete kuomba kazi kama kigezo ni bachelor..
Mkataba nimmoja ila hiyo document inaonekana haikwepo kwani nilikuwa nikilipwa nauli ya Iringa kwakipindi chote cha nyuma baada ya kuona mbona silipwi nauli baada ya kufatilia ndonikagundua Hilo tatizo nimejitahidi kumwelewesha HR anasimamia msimamo wake naona Kuna madhaifu yake anayaficha Sasa...
Mimi ni mfanyakazi wakati naajiriwa taarifa zangu nilijaza kwa usahihi katika mkataba wangu wa Ajira na stahiki zangu Kama likizo nilikuwa nalipwa kulingana na taarifa zilizopo katika mkataba wangu lakini baada ya miaka mitano mbele nililetewa document ambayo inaitwa "personal record form"...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.