Kizzy Wizzy
JF-Expert Member
- Aug 2, 2013
- 3,280
- 3,776
...
Habari za wakati huu waungwana.
Unafahamu nini kuhusu level hiyo ya elimu (Postgraduate Diploma)? Ina faida gani? Unafahamu lolote kuhusu hili suala? Je mtu aliesomea PgD anatambulika vipi? Katika professional yake? Doctor, engineer etc. Kuna faida zozote endapo mtu atasomea hii kitu?
Ahsanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Of Course, nakubaliana na wewe, na ndio maana hata kwenye #3 nikasema "Not for any master"! Kwa mfano, haiwezekani umesoma BCom (Accountancy) halafu utake ukasome Postgraduate Diploma in Law ili eti hatimae ukasome L.LM (kavu)!!Mkuu bado yapo ila ni kwa baadhi ya kozi chache
Nashukuru pia kwa maelezo yako mazuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Kimsingi, hii ni kama stepping stone to Master Degree au hata to PhD! Sasa kutambulika kwake kutagemeana sana umesoma Postgraduate Diploma ya nini, na undergraduate (au Master for PhD) ulisoma nini!Mkuu myplusbee
Naomba kujua pia je mtu aliesomea Postgraduate Diploma anatambulikaje kwenye hiyo field yake.
Atatambulika sawasawa na mtu alie na Shahada? Au kunautofauti
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umeeleweka vzr sanaKimsingi, hii ni kama stepping stone to Master Degree au hata to PhD! Sasa kutambulika kwake kutagemeana sana umesoma Postgraduate Diploma ya nini, na undergraduate (au Master for PhD) ulisoma nini!
Sasa kwa mfano wangu wa kwanza, kwamba una Diploma ya Ualimu, halafu ukaenda kusoma bachelor ya akaunti! Sasa kama unataka ukaendelee kufundisha na kutambulika kwamba una bachelor (sio una bachelor ya ualimu), utaenda kusoma Postgraduate Diploma ya Ualimu!!
Hata hivyo, stahiki zako kazini zinaweza kuwa sawa na mtu mwenye bachelor ya ualimu lakini haimanishi ndo tayari nawe una bachelor ya ualimu!! Utaendelelea tu kutambulika kwamba una Postgraduate Diploma ya Ualimu, na ukitaka kwenda kusoma Master ya Ualimu, utaenda kwa sababu tayari una Postgraduate ya Ualimu!!
Kwa mfano wangu #1, kwa kawaida hawa ni wale ambao wanasoma PgD ya field ile ile ya bachelor yao, lakini kwavile amekosa sifa za kusoma Master, ndipo anaitumia PgD kama Stepping stone! Sasa assume X kasoma Bachelor of Accountancy, na Y amesoma Bachelor of Accountancy, na PGD ya Accountancy! Hapo, X atatambulika kwamba ana Bachelor ya Accountancy, na Y atatambulika kwamba ana Bachelor na PgD ya Accountancy! Na hapa tukumbushane kwamba, ingawaje PgD ni stepping stone, wapo wanaoenda kusoma PgD not as a stepping stone bali ameamua au amepata hiyo chance ya kusoma PgD ingawaje kwenye bachelor amefanya vizuri na kuwa na sifa za kuingia master moja kwa moja!!! In most cases, hawa ni wale wanaotaka kuing'arisha zaidi shahada yao ya kwanza with a related course! Kwa mfano, mtu amesoma Bachelor of Business Administration; kwahiyo anaamua kwenda kusoma PgD ya Marketing au Entrepreneurship ili kuing'arisha zaidi ile bachelor yake kwa sababu anafahamu soko linawahitaji zaidi watu wa marketing/entrepreneurship!!
Mkuu umeeleweka vzr sana
Hivi hapa Tz scholarship za Postgtaduate zinapatikana ?
Nimemaliza Bachelor ya mechanical nahitaji kusoma Postgraduate ya Port management hapo NIT
Nimekuelewa kwa ufafanuzi wako mkuu.Je mtu kama aliajiriwa kwa shahada tofauti anaweza kubadilishiwa kada baada ya kuisoma hiyo kozi Postgraduate Diploma ? Mfano huyo mwenye history na akasoma lawPostgraduate diploma Ni kozi inayofanywa na ambaye tayari ana shahada ya awali(Bachelor degee).Huwezi kufanya postgraduate diploma Kama una stashahada(diploma) au ukitokea shule (fresh from school)
LENGO LA POSTGRADUTE DIPLOMA
Aneyesoma kozi hii Mara nyingi anakuwa na lengo lakubadilisha taaluma yake ya awali !
Angalizo,Mara nyingi lazima iliwe na kigezo cha kusoma postgraduate diploma lazima uwe na shahada inayoenda na postgradaute diploma unayoitaka Kuna baadhi haziingiliani.
Mfano:Ukiwa na Bachalor art/Education/socialogy/Pocurement /Kiswahili unaweza kusoma Postgraduate diploma in Law
Kama una bachelor of science in chemistry/ Biology unaweza kufanya postgraduate diploma in Biochemistry,Molecular Biology,Immunology/Environment
Kama umaefanya shahada ya udaktari /uuguzi /ufamasia unaweza kufanya postgraduate diploma in Human anatomy/Palliative care/Emergency medicine
Kama umefanya engineering unaweza kufanya postdgraduade diploma in Environmental Engineering Kama Ulikuwa na shahada ya civil engineering/Unaweza kufanya Mechanical Engineering Kama Ulikuwa na shahada ya Electrical Engineering.
Je!alifanya Postgraduate diploma anatambulikaje?
Yes! Anatambuliwa kwa taaluma hiyo pia ya postgraduate!
Mfano ,Mwalimu wa Historia akiafanya Poostgraduate diploma in Law ,yeye Ni mwanasheria mwenye shahada ya awali.
Dakatari aliyesoma Postgraduate in human anatomy!He is anatomist also!
Angalizo 2.Ni taaluma chache sana zenye postgraduate diploma