Recent content by Twahil kaupa

  1. T

    JamiiForums Tanzania Kamanda wa Zamu.(Mwanajeshi hatishii, hutenda)

  2. T

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

  3. T

    JamiiForums Tanzania Afrika yaingia Nusu Fainali ya Kombe la Dunia 2022

    Nilikua nategemea siku moja atatokea mtu mwenye akili km wewe leo ulivyoongea asante,sisi Ni wabaguz sana
  4. T

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ni yale yale tu

    Hapana sjaachwa mana ata hayupo wa kuniacha
  5. T

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ni yale yale tu

    Pamoja mkuuu
  6. T

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ni yale yale tu

    Mkuu nimeandika tu bhn sjaachwa Na wala siwaz kuachwa mn pia sjapenda mtu.ila kuna mtu nilisoma alichoandika humu ndio mana nami nikapata wazo hilo
  7. T

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ni yale yale tu

    Kujiua ilo Ni tatzo la akili si kwa sababu ya mapenz
  8. T

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ni yale yale tu

    🏃🏃
  9. T

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ni yale yale tu

    Hakuna ambaye hajawai kuachwaa ila kwa kuandika haimaanish nimeachwa
  10. T

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ni yale yale tu

    We jiulize toka enzi ya adamu mpaka sasa kuna watu wangap walipitia km yako!?? Je walifanya maamuzi gani Ndugu kila kinachotokea ktk mapenz ndio mapenz yenyewe we chukulia ivyo ukipendwa au ukitendwa we chukulia kawaida tuu Ukihongwa Sana au ukichunwa Sana kawaida tuu Yaan hakuna jipya watu...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Mnaodhani kuwa yote aliyosema Mzee Makamba hakuandaliwa poleni sana

    Nilikua nahis ata uyu muandish Ni anakitu cha ziada so walipanga wakafanya Na wamefanikiwa
  12. T

    JamiiForums Tanzania Mnaodhani kuwa yote aliyosema Mzee Makamba hakuandaliwa poleni sana

    Nilikua najua hiki ktatokea mrengwa asingejibu ila ile kujibu tuu wote tukaama kwake kuja huku alikosea hapo
  13. T

    JamiiForums Tanzania Wanaume wa JF sio wakweli hata kidogo

    Wengne utasikia we mdg hunifai wanasahau kwamba ktk mapenz ya kwel kunaitajika busara,akil,heshma Na kumvumiliana Na hakuna ktu umri
  14. T

    JamiiForums Tanzania Kaletwa mganga kwa Mchepuko sijashirikishwa, ugomvi umeibuka

    Sa kuwatimua au kumtimua mbona km unafanya makosa,kanuni ya Kwanza ktk mahusiano Ni kustiliana so kwa maelezo yako ulikosa iko ktu ,kwa wepesi tuseme umemzalilisha ungeongea nae yy alaf ungeondoka,
  15. T

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya hili penzi, ungekuwa wewe ungemjibuje?

    Nafikil unajua ukiwa mwanaume kazi yako ya Kwanza Ni kuhakikisha family haidhaliliki so yeye kakuambia ukwel nawe hakikisha umemwambia ukwel ila km unataka tu tukupe jibu basi mjibu (ntajitaid kwa kadri ya uwezo wangu) alaf kaa nae mpange mikakati
Back
Top Bottom