Recent content by twahamakau

  1. twahamakau

    Hii ndio (CV) Wasifu ya Nape Moses Nnauye

    Safi sana Nape, Weledi unao.
  2. twahamakau

    Kabla hujaanza kuzunguka na bahasha soma hapa

    Natamani wahitimu wote ambao wapo mtaaani wausome huu waraka, hakika utawasaidia.
  3. twahamakau

    Malema na wabunge wezake EFF wakataa kuvaa suti wakati wakiapishwa

    Malema ana msimamo wa kizalendo , ila ambao umepitwa na wakati. Ukitaka mabadiliko ya dhati kny Jamii yako, si vema kuwabagua wale wachache.
  4. twahamakau

    Quattara aongoza ivory coast akiwa hotelini

    Sijajua suluhisho la demokrasia ya uchaguzi ni nini haswa katika nchi zetu za kiafrika! Pole sana Quattara......Hiyo ndio Afrika baba!
  5. twahamakau

    GE2010 Majimbo ambayo yamechukuliwa na upinzani uchaguzi mkuu 2010

    musoma mjini kigoma kaskazini ubungo moshi mjini hai sumbawanga mjini nkasi kaskazini kahama arusha mjini karatu kiteto iringa mjini mbeya mjini mbeya vijijini nyamagana ilemela mpanda kati songea mjini mbozi mashariki maswa mashariki ukonga kawe kibaha mjini arumeru tarime serengeti singida...
  6. twahamakau

    GE2010 Hali halisi kabla ya kutangazwa matokeo majimbo ya Dar

    Mpendazoe kama ni hivyo unastaili baba!........Hii ni harufu ya mabadiliko!
Back
Top Bottom