Recent content by Twaha Ibn Mohammed Mafiga

  1. Twaha Ibn Mohammed Mafiga

    JamiiForums Tanzania Njia sahihi za kutokemeza umasikini ni kubadili mfumo wa uongozi

    Kiukweli umasikini unatesa, umasikini unaumiza, umasikini unakatisha tamaa Huenda tukaondoa umasikini kukuondoa mifumo ya uongozi tulio achiwa na wazungu na kutafuta njia nyingine ya uongozi ambayo itakuwa inambeba kiongozi pamoja na mwananchi wake.. Mfumo uliopo yaani mfumo wa vyama vingi...
  2. Twaha Ibn Mohammed Mafiga

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenzangu naombeni ushauri: Umewahi kukutana na kulifanya jambo hili?

    Kama ni msili apewe tu kunyimana nako ni dhambi
  3. Twaha Ibn Mohammed Mafiga

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Kuna viongozi wazuri zaidi ya Samia tumuombe Mungu atuonyeshe kiongozi sahihi atakae juwa thamani ya watu wa hali ya chini na wale wenye kipato cha juu... Tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi hatuja wahi kupata kiongozi mwenye kutafakari jinsi ya kuboresha maisha ya watanzania na njia ya...
  4. Twaha Ibn Mohammed Mafiga

    JamiiForums Tanzania Wanawake mnapenda sehemu gani katika mwili wa mwanaume?

    Huhuu me spo japokua analo kwel
  5. Twaha Ibn Mohammed Mafiga

    JamiiForums Tanzania Wanawake mnapenda sehemu gani katika mwili wa mwanaume?

    Haha mwanaume wowowo si hatare
  6. Twaha Ibn Mohammed Mafiga

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna uhusiano gani kati ya maji ya Kilimajaro na Serikali?

    Daah ugumu wa maisha bhana, unatufanya mawazo yajikite serikaln tu
  7. Twaha Ibn Mohammed Mafiga

    JamiiForums Tanzania Waislamu wa Africa(Tanzania) mbona hamlaani mashambulio yatokeayo Somalia?

    We unataka tukutumie txt tukwambie tuna laan vtendo vya kigaidi
  8. Twaha Ibn Mohammed Mafiga

    JamiiForums Tanzania RC Makonda aipaisha Dar, matokeo ya darasa la saba

    Naomba nkuulze swal,,,je ni kwann timu ya mpira wa miguu ikifanya vibaya wanamfukuza kocha kwan ndio anae cheza mpira uwanjan
Back
Top Bottom