Waislamu wa Africa(Tanzania) mbona hamlaani mashambulio yatokeayo Somalia?

Mimi nina swali dogo tu, mbona sijaona waislamu wa Tanzania na Africa kwa ujumla wakilaani haya mashambulio kwa watu weusi waislamu wenzao huko Somalia ila hupaza shingo na sauti kuhusu yanayotokea Palestina na Burma. Mbona waislamu wa africa ni wanafiki sana mnasikitisha sana. Humu sijaona uzi kuhusu huzuni za Somalia ila za Palestina na wale wa Burma.
Mkuu watu wote wanalaani mauaji yote yanayo toke kwa dhulma cyo somalia tu popote duniani watu wakidhulumiwa lilazima watu walaani na kulaani cyo mpka we upigiwe simu wewe ili ujue. Na pia ww siyo muislam nadhani ungeu muislam usinge uliza mswali yako ya hovyo kama haya.
 
Waislamu wakiuwana wao kwa wao haina noma. Ila ngoja utokee ugomvi na mtu asiye muislamu utaona balaa lake !
 
Mimi nina swali dogo tu, mbona sijaona waislamu wa Tanzania na Africa kwa ujumla wakilaani haya mashambulio kwa watu weusi waislamu wenzao huko Somalia ila hupaza shingo na sauti kuhusu yanayotokea Palestina na Burma. Mbona waislamu wa africa ni wanafiki sana mnasikitisha sana. Humu sijaona uzi kuhusu huzuni za Somalia ila za Palestina na wale wa Burma.


 
Si kila jambo litendwalo na muislam ni matakwa ya Quran tukufu , kama binadamu mwenye mapungufu baadhi ya mambo/matendo ni matakwa ya nafsi ya mtu mwenyewe eidha kisiasa au kiuchumi pasipokuzingatia maelekezo ya Quran na mafundisho yake hivyo si sawa kuhusisha mauaji ya alshababu na uislam kwakua hata wanaouwawa pia ni waislam huko Somalia kwa idadi kubwa ya watu
 
Mimi nina swali dogo tu, mbona sijaona waislamu wa Tanzania na Africa kwa ujumla wakilaani haya mashambulio kwa watu weusi waislamu wenzao huko Somalia ila hupaza shingo na sauti kuhusu yanayotokea Palestina na Burma. Mbona waislamu wa africa ni wanafiki sana mnasikitisha sana. Humu sijaona uzi kuhusu huzuni za Somalia ila za Palestina na wale wa Burma.
HOJAN YAKO ZURI ILA HIZO NI KESI MBILI TOFAUTI TUKIO LA SOMALIA NI LA KIGAIDI LINALOFANYWA KWA USIRI NA WATU FULANI WANAOIPINGA SERIKALI. BURMA NI UGAIDI PIA UNAOFANYWA NA SERIKALI DHIDI YA WAROHING'YA NA HUKO PALESTINA UGAIDI HUOHUO UNAFANYWA NA SERIKALI YA KIYAHUDI(ZEONISM) DHIDI YA WAPALESTINA.
KELELE NYINGI HUPIGWA KWA SERIKALI HIZO MBILI KWA SABABU ZINA MAMLAKA YA KUZUIA NA NI WAJIBU WAKE KULINDA HAKI YA KUISHI YA RAIA WAKE.
Somalia ni kugumu wanaotekeleza wanajificha ila kulaani ni lazima kwa kuwa wote ni binadamu wenye usawa mbele ya Mwenyezi Mungu.
 
Wakristo jifunzeni kuijua dini ya uislam vzr km waislam wanavoijui dini yenu kuliko hata manvoijua ninyi.
Waislam tumeamrishwa kufanya mema tu na kukatazana mabaya yanayobaki ni ya mtu binafsi.
Na wala halazimishwi mtu kuingia ktk uislam kwa mana tukiwa wote waislam nani ataingia motoni?kwa hyo lazima wawepo makatonta ili jahanam ipate watu na mungu asionekane muongo
 
Somalia 99% ni waislamu na kabila moja wanachotafautiana ni koo/clans.yanayotokea somalia hayahusiani na dini bali siasa,biashara na maslahi binafsi chini ya kilemba cha dini.
 
Sasa jambo usilolijua utalijuaje?
Hayo yanazungumzwa ktk shura
Ktk uislam ria kujioneSha onesha ni ktk shirki
Na huwez nielewa pia
Wewe unaeelewa halafu wengine wasielewe ina maana una akili nyingi kuliko wenzako???.
 
Sio unafiki ila ni ujinga. Dini sio mfumo unaokuruhusu kufikiria rationally
 
Kwani Somalia wanakaa wa Islam peke Yao. Au wanaokufa ni wa Islam peke Yao? Hakuna wakristo Somalia?
Hahahah Mkristo Somalia kuna mmoja alijaribu kumfuata bwana wake Mkristo na kuamua kubadili dini hakuna rangi aliacha kuona{nadhani sasa anaishi marekani}...kama sio UN na America kupiga kelele saizi angekuwa ameshasahaulika,zilikaa mahakama zikaamua alowekwe udongoni kibaki kichwa kipondwe mawe.nadhan kwa muujiza ule familia yake yote waliihama hiyo nchi na dini pia.islam siyo dini ya mchezo mchezo kwanza ni wabaguzi wanabagua hadi watu waliokufa kama jana nilisoma humu kwamba mwili wa Ndikumana Hamad ulienda kuwekwa mortuary ya kiislam kwa7bu dini yao sijui hairuhusu!
 
tunalaani vitendo vya kigaidi (ukhawarij) tunaliongea hilo kila siku au ulitaka mpaka tuweke press conference ...uislam ni dini yenye kumvuta aliye nje aingie ndani na kumfanya aliye ndani asitoke
Vile vile mngelaani,na vitendo,wanavyofanyiwa Dada zetu,wanaoenda uarabuni,kufanya kazi za ndani,
Ripoti ilibidi izinduliwe juzi,kwa aibu kubwa,serikali,imeitia kwapani,
Tukimaliza halo,turudi visiwani,Zenj,ambako 99% ya wakazi wake ni imani yetu,vitendo vya ubakaji na ulawiti wa watoto wadogo vimezidi
 
Hahaha...hapa watakachokujibu zaidi ni kuwa :

"Hayo ni mambo ya kiislam na wewe hayakuhusu"

Ni waislam wachache sana wastaarabu humu na wanaoweza kukujali na kukujibu vizuri wewe usiye muislam.
 
Nilijua tu mtasema hivi. :)

Kwani amekosea nini kuuliza hilo? Au inahitaji awe muislam ndio aulize hayo?

Kwa ubinafsi na Roho mbaya kwa wasio waislam hamjambo.

Hongereni sana.
 
Back
Top Bottom