Recent content by Tuzinduke

  1. T

    What are some crazy interesting conspiracy theories?

    Eti osama bin laden kuuawa na kutupwa baharini.
  2. T

    Wanandoa wanatakiwa wafanye tendo la ndoa mara ngap kwa siku?

    Inashauriwa kila baada ya siku 3 au mara mbili kwa wiki. Ila utapaojiskia naye hana dharura ni kadri muwezavyo
  3. T

    Wenye madeni makubwa na hatujui tutayamalizaje tuliwazane hapa

    Nadaiwa 350,000 kichwa kinauma ukizingatia majukumu mengi kipato ni kidogo
  4. T

    Tatizo la feni

    Lizime halafu zungusha feni kwa mkono kama ni gumu kuzunguka ni uchafu wa vumbi au kutu tia mafuta kulainisha
  5. T

    Nakaribia kuoa ushauri tafadhali

    Shukrani kwa nasaha zako kuhusu kadi ondoa shaka
  6. T

    Nakaribia kuoa ushauri tafadhali

    Hahaha hahah usijali nitamtunza kwa uwezo wangu wote.
  7. T

    Nakaribia kuoa ushauri tafadhali

    Hapana sinywi kilevi chocho wala sivuti hata sigara na yeye ni hivyo hivyo
  8. T

    Nakaribia kuoa ushauri tafadhali

    Dah pole kwa mkasa uliokupata nategemea kwangu itakuwa tofauti Mungu anisaidie..
  9. T

    Nakaribia kuoa ushauri tafadhali

    Najitahidi kuchukua mazuri mabaya nayaacha.Usiwe na wasi wasi ingekuwa vyema zaidi unielekeze sehemu nzuri ya kupata ushauri
  10. T

    Nakaribia kuoa ushauri tafadhali

    Sawa mkuu usicheze mbali
  11. T

    Nakaribia kuoa ushauri tafadhali

    Ahsante kwa ushauri wako nitauzingatia mkuu
Back
Top Bottom