Recent content by Tuyambe

  1. T

    JamiiForums Tanzania Aliye na G.P.A ya 1.4 anaweza kusomea ualimu naomba mnisaidie.

    Asikatishwe tamaa tumshauri vizuri
  2. T

    JamiiForums Tanzania Mwenye ufahamu kuhusu mtihani wa R.P.L wa NACTE naomba anielekeze

    Poa naomba unifamishe japo nimekosea kuandika sorry unaufahamu juu ya hill suala kaka?
  3. T

    JamiiForums Tanzania Mnyika: Spika ameonyesha upendeleo, na kanuni hazimpi mamlaka ya kunifungia bunge

    Kweli afanye ivo spika awe muungwana
  4. T

    JamiiForums Tanzania Mwenye ufahamu kuhusu mtihani wa R.P.L wa NACTE naomba anielekeze

    Mwenye kufahamu kuhusu ule mtihani wanaoutoa NACTE unaoitwa R.P.L unatolewa au ulifutwa ? Mwenye kufahamu juu ya hili
  5. T

    JamiiForums Tanzania Unamshauri nini Mhitimu na mwanafuzi wa shahada ya ualimu wa sanaa

    Mimi nawashauri wahamie kozi nyingine ambazo wanaweza kujiajili
  6. T

    JamiiForums Tanzania Hapa GPA za 2.9 watachaguliwa tu

    Duh ngoja tusubili
  7. T

    JamiiForums Tanzania Wana jamvi anaejua kuhusu RPL (recognition of prior learning)

    Asaidiwe hata mimi natamani kujua jaman mwenyeufahamu kuhusu hiikitu
  8. T

    JamiiForums Tanzania TCU: Maombi ya kusoma "Degree" vyuo kikuu kufanyika Direct katika Vyuo husika

    Minaona TCU wawaachie walioko kazini mwenye diploma za 2.9 gpa wajiendeleze maana hakuna wanacho kwepa Hapo
  9. T

    JamiiForums Tanzania Hapa GPA za 2.9 watachaguliwa tu

    Kweli japo nahisi baadhi yavyuo vitakosa ujazo mzuri wa wanafunzi nafkiri TCU walekebishe nafkiri 2.9 ingefaa kidogo ,ushauri wangu waombe tu labda wanaweza kukaachini
  10. T

    JamiiForums Tanzania Hapa GPA za 2.9 watachaguliwa tu

    Samahani kwa usumbufu wadau kwa hili la tamko la TCU mimi naona wale diploma wenye GPA ya 2.9 waombe tu vyuoni. Nadhani watapata nafasi maana vyuo vitakosa wanafunzi. Au wewe mdau unaonaje...
Back
Top Bottom