Recent content by Tuweni

  1. T

    Baadhi ya wanawake sijui wanachukulia vipi maisha

    unaogopa kumweka ndani coz baada ya kuachana watu wengi wamekamua zigo lkn unataka kukamua km wakaumaji wengine, Saaafi Xna mkuu
  2. T

    Tuoe wanawake wa kawaida inapunguza presha sana

    Mkuu iyo sikubaliani nayo coz kuna wanawake wao wenyewe hawajiamini..mfano utakuta mwanmke anamwambia mwanamke Ohh me sio mzuri mimi tinginya mimi nina tumbo n.k. asa mwanmke km huyu hata huoyo mume Wake hamuon mzuri sababu yeye mwenyewe mwanmke anajikosoa nakuona kuna wengine ndio wazuri
  3. T

    Ananichanganya simuelewi, naomba ushauri

    Acha kuamini one side story eti hawezi kumuowa mama lily kwasababu alizokueleza wewe!! Mpe akishakuchezea atakuach atakutana na mwengine afu atamwita mchumba, wife, baby na atamwambia wewe hakuweza kukuowa kwasababu km hizo ulizokwambia wewe za mamaLily
  4. T

    Ushauri jamani

    Mtumie vocha na salio km la2 ivi atakupigia mwenyewe na utapata jibu zuri tuu
  5. T

    Mwanamke kukataa kutumia kondom

    Ya Ice Cream....hhhaammm na tena! hhhaaaammmmm
  6. T

    Mwanamke kukataa kutumia kondom

    Hahahaa kuna sehemu za kusindikizana lkn sio huko
  7. T

    Mwanamke kukataa kutumia kondom

    Duh! aya ogeni bila ya rain coat afu muone
  8. T

    Nilipanga kumuoa Januari, nimeahirisha

    Na Kaepuka Kumbambikia mtoto sio ako.
Back
Top Bottom