Ushauri jamani

Ushauri jamani

Mtumie vocha na salio km la2 ivi atakupigia mwenyewe na utapata jibu zuri tuu
 
Mud a na sasa tuna ajira zetu mkuu

Mkuu inawezekana uliingia vbaya siku hz hakuna mambo ya nipe muda nikufikirie if she interested with you unapewa jibu hapohapo,ukiona hvyo ujue kuna objection
 
duuu sasa hapo sijui ushauriwe nn,
mfiate kwake
 
Back
Top Bottom