Recent content by tuvako wa ukwee

  1. T

    JamiiForums Tanzania Mdahalo ni lazima sio hiari

    Mwaka 2010 kwa nini hukumpa ushauri huu Kikwete? Mbona Kikwete ALIPOKIMBIA mdahalo na Dr Slaa hukutokwa POVU hivi?
  2. T

    JamiiForums Tanzania Ukitongoza mwanamke mrembo usithubutu kumwambia unafanya kazi hizi, atakukataa mchana kweupe

    Na sisi ma lecturer tunaofundisha chuo kikuu unatuweka kundi gani? Tunang'oa mtoto au hatung'oi?
  3. T

    JamiiForums Tanzania Yamenifika kooni, nimeshindwa kulea kiburi chake

    Hiyo ID yako tu,Hahaha
  4. T

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

    Hao wananchi ni wapi hao? Utakuwa unamaanisha wananchi wa Mtaa wa Lumumba labda
  5. T

    JamiiForums Tanzania Mjapan wangu anauza milion 6

    Hata mimi Nina mashaka
  6. T

    JamiiForums Tanzania campaign manager (Lemutuz) asema ushindi mapema

    Msomi Na Mfanyabiashara mkubwa jijiji Dar Es Salaam. Hahahaha... Nimependa hiyo statement tu. Naona Unampaka Le Baharia Chupa kwa mgongo wa Mafuta
  7. T

    JamiiForums Tanzania Je, mahusiano ya mbali yanaweza kudumu?

    Hahaha haha
  8. T

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kumuoa ila nime disco chuo

    Sasa kudisco kunazuia nini kuoa! Au huna hela
  9. T

    JamiiForums Tanzania Rafiki yake anamlazimisha atembee na mkewe

    Ale tunda Ili ATOE chotara
  10. T

    JamiiForums Tanzania YA NARC NA MWAI KIBAKI...Je UKAWA/LOWASA wana la Kujifunza??

    Well said and Well constructed Piece of Advice. The BEST ADVICE Ukawa can ever get
  11. T

    JamiiForums Tanzania Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

    Nini kinaendelea hapo Uwanjani kwa sasa?
  12. T

    JamiiForums Tanzania Biashara ya chips: Faida na Changamoto zake

    Mkuu nimekusoma... Nashukuru sana
  13. T

    JamiiForums Tanzania Biashara ya chips: Faida na Changamoto zake

    Mkuu, Huyo jamaa yako wa Mbeya, hiyo Elfu 50 ni FAIDA au ni makusanyo ya jumla?
  14. T

    JamiiForums Tanzania Biashara ya chips: Faida na Changamoto zake

    Wakuu, kwa makadirio kwa siku hii business inaweza kuingiza sh ngapi kwa mfano? I'm curious to know that.
  15. T

    JamiiForums Tanzania Biashara ya chips: Faida na Changamoto zake

    Haya bana... Hahaha
Back
Top Bottom