Mtawala lazima kuna wakati unapaswa kucheza rafu, tena ya kuvunja mguu kabisa kiasi cha kutorudi mchezoni tena. Hii ilikuwepo tangu enzi na enzi, vitabu takatifu vimetueleza, watawala kuna wakati wanalazimika kufuta mtu duniani kwa maslahi ya watawaliwa.
Mpinzani anajua kupinga tu, hata jema...