Recent content by Tutakunywa Chai ya Rumba

  1. Tutakunywa Chai ya Rumba

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    wakuu natafuta wimbo wa hii bendi kwa mwenye kujua anisaidie kuupata au nikipata hata jina tu la hii bendi nitashukuru sana.
  2. Tutakunywa Chai ya Rumba

    JamiiForums Tanzania Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

    Hiyo sehemu ina mafuta mafuta lazima iwe tamu.
  3. Tutakunywa Chai ya Rumba

    JamiiForums Tanzania Kumbe ni kweli, ukikanyaga yai haliwezi kuvunjika, leo nimejaribu

    Muda huo network inakua haipo mkuu.
  4. Tutakunywa Chai ya Rumba

    JamiiForums Tanzania Kumbe ni kweli, ukikanyaga yai haliwezi kuvunjika, leo nimejaribu

    Hata mbupu zikikanyagwa hazivunjiki jaribu uone. Ngoja nipige pafu la pili
  5. Tutakunywa Chai ya Rumba

    JamiiForums Tanzania Panga la wachezaji Simba linanukia mwishoni mwa msimu huu, kuna majina makubwa

    Hao wanaoachwa timu yangu Yanga iwachukue watatusaidia kwenye mechi za kimataifa msimu ujao ili tusitolewe tena round ya awali.
  6. Tutakunywa Chai ya Rumba

    JamiiForums Tanzania Twaha Kiduku amtwanga Alex Kabangu wa DRC, ashinda Mkanda wa UBO

    Huyu ndiye Twaha anaelilia kupigana na Mwakinyo au tusubiri mwingine?
  7. Tutakunywa Chai ya Rumba

    JamiiForums Tanzania Unajua Saa ya Dunia?

    Kumbe ndio maana....................
  8. Tutakunywa Chai ya Rumba

    JamiiForums Tanzania Kidonge cha Uzazi wa mpango kwa Wanaume chapatikana

    Nalo neno la bwana likasema zaeni mkaijaze nchi.
  9. Tutakunywa Chai ya Rumba

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Ukraine kwasasa ni bora kuliko maisha ya bongo!

    Njaa ni adui wa afya ya akili.
Back
Top Bottom